IQNA

MWL yapongezahukumu dhidi ya aliyeteketeza moto Qur’ani London

MWL yapongezahukumu dhidi ya aliyeteketeza moto Qur’ani London

IQNA – Jumuiya ya Waislamu Duniani (MWL) imekaribisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza kumtia hatiani mtu aliyeteketeza moto nakala ya Qur’ani Tukufu mjini London. 
17:09 , 2025 Jun 08
Kitabu Kipya cha Sayansi ya Qur’ani kutimika katika vyuo vya Kiislamu nchini Iran

Kitabu Kipya cha Sayansi ya Qur’ani kutimika katika vyuo vya Kiislamu nchini Iran

IQNA – Kitabu kipya kilichoandikwa kuhusu sayansi ya Qur’ani kimetangazwa rasmi kama rasilimali ya elimu kwa wanafunzi wa kiwango cha kwanza katika vyuo vya Kiislamu kote Iran.
16:59 , 2025 Jun 08
Maelfu ya Waislamu wamesherehekea Eid Katika Msikiti wa Kati wa Glasgow

Maelfu ya Waislamu wamesherehekea Eid Katika Msikiti wa Kati wa Glasgow

IQNA – Maelfu ya waumini walikusanyika katika Msikiti wa Kati huko Glasgow, Scotland, kwa sala maalum kuadhimisha Idul Adha.
16:51 , 2025 Jun 08
Karibu Waislamu Milioni 1.7 wametimiza ibada ya Hija nchini Saudia

Karibu Waislamu Milioni 1.7 wametimiza ibada ya Hija nchini Saudia

IQNA – Takriban Mahujaji milioni 1.7 wamekusanyika katika ardhi tukufu ya Saudi Arabia kumaliza ibada muhimu za Hija, ambazo zilihitimishwa kwa ibada ya kutupa mawe katika eneo la Mina na kuzunguka Kaaba kwa mara ya mwisho (Tawafu ya kuaga) katika Msikiti Mtukufu wa Makkah.
08:16 , 2025 Jun 08
Vitendo vya Chuki dhidi ya Uislamu na uharibifu wa chakula katika duka la Pizza Marekani

Vitendo vya Chuki dhidi ya Uislamu na uharibifu wa chakula katika duka la Pizza Marekani

IQNA – Malalamiko ya ukiukaji wa haki za kiraia yamewasilishwa kwa Idara ya Haki za Kiraia ya Jimbo la Michigan nchini Marekani dhidi ya tawi la Domino’s Pizza lililoko Waterford, kufuatia ripoti ya ubaguzi wa kidini na uharibifu wa chakula uliowalenga wanawake wawili Waislamu na watoto wao.
16:43 , 2025 Jun 07
Maelfu washiriki Swala ya Iddi  eneo la Bain-ul-Haramain, Karbala, Iraq

Maelfu washiriki Swala ya Iddi eneo la Bain-ul-Haramain, Karbala, Iraq

IQNA – Maelfu ya wafanyaziara na wakazi wa Karbala walikusanyika kwa wingi kushiriki Swala ya Iddi ul Adha iliyoswaliwa Jumamosi katika eneo la Bain-ul-Haramain.
16:36 , 2025 Jun 07
Wito wa kushtakiwa walioshambulia Ofisi ya Ayatullah Sistani nchini Syria

Wito wa kushtakiwa walioshambulia Ofisi ya Ayatullah Sistani nchini Syria

IQNA – Khatibu wa Swala ya Ijumaa jijini Baghdad amesisitiza umuhimu wa kuwachukulia hatua kali waliotekeleza shambulizi dhidi ya ofisi ya Ayatullah Ali Sistani mjini Damascus, mji mkuu wa Syria.
16:25 , 2025 Jun 07
Usomaji wa Aya za Qur'ani wa wanachama wa Msafara Nur katika Mlima Arafat

Usomaji wa Aya za Qur'ani wa wanachama wa Msafara Nur katika Mlima Arafat

IQNA – Wanachama wa Msafara wa Nur wa Wasomaji Qur'ani Tukufu na Waimbaji Qasida kutoka Iran, ambao kwa sasa wako katika ardhi takatifu kama sehemu ya Msafara wa Qur’ani wa Nur, walitoa maonyesho mawili maalum katika usiku wa Arafah huko Mlima Arafat (Jabal al-Rahmah). Walisoma kwa pamoja aya takatifu kutoka Qur’ani Tukufu kwa mtindo wa pamoja na kisha wakaimba Tawashih – wimbo wa kitamaduni wa Kiislamu unaohuisha imani.
15:45 , 2025 Jun 07
Watu wa Gaza waswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti

Watu wa Gaza waswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti

IQNA – Wapalestina kote Ukanda wa Gaza wameswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti iliyoharibiwa na vita vya kinyama vya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
10:38 , 2025 Jun 07
Siku ya Kwanza ya Hija

Siku ya Kwanza ya Hija

Zaidi ya mahujaji milioni 1.5 wameanza ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makkah. Picha zifuatazo za siku ya kwanza ya Hija ya mwaka 1446 Hijria Qamaria (2025) zinaonyesha taswira safi za ibada yenye unyenyekevu na shauku ya kuungana na Mola Mlezi.
16:41 , 2025 Jun 06
Khatibu wa Sala ya Idi Tehran: Idul Adha ni Sikukuu ya Umoja, Ibada na Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu

Khatibu wa Sala ya Idi Tehran: Idul Adha ni Sikukuu ya Umoja, Ibada na Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu

IQNA – Akiwatakia heri ya Idul Adha Waislamu kote duniani, Khatibu wa Swala ya Idi iliyosaliwa leo Tehran ameielezea Idihii tukufu kuwa ni sikukuu ya umoja wa Ummah wa Kiislamu, na maadhimisho ya ibada na kujisalimisha kwa Mola.
16:19 , 2025 Jun 06
Idul al-Adha: Kumbukumbu ya Utiifu na Kujitolea kwa Mwenyezi Mungu

Idul al-Adha: Kumbukumbu ya Utiifu na Kujitolea kwa Mwenyezi Mungu

IQNA – Idul al-Adha ni miongoni mwa sikukuu tukufu zaidi katika kalenda ya Kiislamu, yenye mizizi katika tukio la kiroho lenye uzito mkubwa lililotajwa ndani ya Qur’ani Tukufu.
16:07 , 2025 Jun 06

"Katika Kutafuta Qiraa Nzuri Zaidi”: Kauli Mbiu ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai 2026

IQNA – Toleo la mwaka 2026 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai litaandaliwa chini ya dira mpya iliyopewa kauli mbiu: "Katika Kutafuta Qiraa Nzuri Zaidi ya Qur’ani Tukufu."
15:54 , 2025 Jun 06
Hakuna njia nyingine ya kuokoa ubinadamu isipokuwa kurejea katika mafundisho ya Qur'ani

Hakuna njia nyingine ya kuokoa ubinadamu isipokuwa kurejea katika mafundisho ya Qur'ani

IQNA – Afisa mmoja wa Kiirani amesema kuwa hakuna njia nyingine ya kuokoa ubinadamu ila kwa kufuata mwongozo wa Qur'ani Tukufu.
15:47 , 2025 Jun 06
Iran yazindua hospitali za muda Mina na Arafat kuwahudumia Mahujaji

Iran yazindua hospitali za muda Mina na Arafat kuwahudumia Mahujaji

IQNA – Mkuu wa Shirika la Hilali Nyekundu la Iran (IRCS), Daktari Pir Hossein Koulivand, ametangaza kuwa shirika hilo limefungua hospitali za muda katika maeneo ya Arafat na Mina, karibu na Makkah, kwa ajili ya kuwahudumia Mahujaji.
15:39 , 2025 Jun 06
5