Habari Maalumu
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kitendo chake 'haramu, cha kinyama na kinacholenga kuvuruga amani ya...
10 Sep 2025, 11:15
IQNA-Ndege za kivita za Israel zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya makao makuu ya harakati za upinzani za Hamas katika mji mkuu wa Qatar, Doha,...
10 Sep 2025, 11:28
IQNA – Mufti Mkuu wa Kroatia, Sheikh Aziz Hasanović, amesema kuwa Mtume Mtukufu Muhammad (rehema na amani zimshukie) ameitoa amri kwa Ummah wa Kiislamu—na...
09 Sep 2025, 14:32
IQNA – Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa wanawake uliofanyika Tehran wametoa wito wa kususiwa kwa kina kwa utawala wa Kizayuni, wakilaani vita vya mauaji...
09 Sep 2025, 14:38
IQNA – Wanasayansi watatu mashuhuri ambao ni Mohammad K. Nazeeruddin kutoka India, Mehmet Toner kutoka Uturuki, na Vahab Mirrokni kutoka Iran wametangazwa...
09 Sep 2025, 14:00
IQNA – Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetaja baa la njaa linaloikumba Ukanda wa Gaza kuwa ni janga lililosababishwa...
09 Sep 2025, 14:26
IQNA – Mtaalamu mstaafu wa Qur’ani kutoka Iran amependekeza kuundwa kwa muungano wa kimataifa wa wanazuoni wa Qur’ani ili kutetea kisheria haki za Umma...
09 Sep 2025, 13:43
IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu kuondoa migawanyiko ya ndani na kusimama kwa umoja, akisema kuwa mshikamano...
08 Sep 2025, 16:14
IQNA-Chanzo cha kuigwa kutoka Iran, Ayatullah Mkuu Nasser Makarem Shirazi, amesisitiza haja ya ulimwengu wa Kiislamu kurejea katika kanuni ya msingi ya...
08 Sep 2025, 15:20
IQNA – Wenyeji kadhaa wa kipindi maarufu cha Mahfel kutoka Iran walialikwa kushiriki katika maadhimisho makubwa na ya muhimu zaidi ya kila mwaka ya kukumbuka...
08 Sep 2025, 15:10
IQNA – Mwakilishi wa Misri ameibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya kimataifa ya usomaji wa Qur'ani ya mataifa ya BRICS yaliyofanyika nchini Brazil.
08 Sep 2025, 14:56
IQNA – Naibu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri ameeleza kuwa kusaidia vituo vya kuhifadhi Qur'ani ni wajibu wa kidini na kijamii.
08 Sep 2025, 14:48
IQNA-Wizara ya Mambo ya Dini na Wakfu nchini Algeria imetangaza kuanzishwa kwa mashindano ya kimataifa kuhusu Sira au mfumo wa maisha ya Mtume Muhammad...
07 Sep 2025, 15:22
IQNA- Waislamu wa jimbo la Kedah nchini Malaysia wamepata fursa adhimu ya kubadilisha nakala zao za Qur'anI zilizochakaa au kuharibika kwa nakala mpya...
07 Sep 2025, 15:13
IQNA-Imetangazwa kuwa Jumanne hii, tarehe 9 Septemba 2025, kutafanyika mjadala wa kimataifa kwa njia ya mtandao kwa jina “Karne 15 za Kumfuata Mjumbe wa...
07 Sep 2025, 15:05
IQNA-Mashindano ya 15 ya kitaifa ya kuhifadhi na kusoma Qur'anI kwa “Wachamungu wa Qur'an wa Iraq” yamehitimishwa kwa heshima kubwa katika Msikiti Mtukufu...
07 Sep 2025, 14:45