IQNA

Mwanazuoni: Mtume Muhammad (SAW) alikuja kumkomboa mwanadamu

Mwanazuoni: Mtume Muhammad (SAW) alikuja kumkomboa mwanadamu

IQNA – Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon ameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Milad un Nabii kwa kutoa wito wa kutafakari juu ya ujumbe wake wa huruma, haki, na heshima ya kibinadamu kwa ulimwengu mzima.
18:36 , 2025 Sep 12
Kiongozi wa Hizbullah: Shambulizi dhidi ya Qatar ni sehemu ya Mpango wa ‘Israel Kubwa’

Kiongozi wa Hizbullah: Shambulizi dhidi ya Qatar ni sehemu ya Mpango wa ‘Israel Kubwa’

IQNA – Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya kupigania ukombozi ya Hizbullah nchini Lebanon amelaani shambulizi la hivi karibuni la Israel dhidi ya mji wa Doha nchini Qatar, akieleza kuwa tukio hilo ni sehemu ya mpango unaojulikana kama ‘Israel Kubwa’.
17:58 , 2025 Sep 12
Wafanyakazi wa Msikiti Mkuu wa Makka wapewa mafunzo ya Huduma ya Kwanza

Wafanyakazi wa Msikiti Mkuu wa Makka wapewa mafunzo ya Huduma ya Kwanza

IQNA – Warsha ya mafunzo kuhusu stadi za msingi za huduma ya kwanza imefanyika kwa wafanyakazi wa Msikiti Mkuu, Masjid Al Haram, ulioko katika mji mtukufu wa Makka.
17:51 , 2025 Sep 12
Mbunge wa Uskochi ataka Israel ifungiwe kushiriki michezo Barani Ulaya  kutokana na jinai zake Gaza

Mbunge wa Uskochi ataka Israel ifungiwe kushiriki michezo Barani Ulaya kutokana na jinai zake Gaza

IQNA-Mbunge mmoja kutoka Uskochi nchini Uingereza amewasilisha hoja rasmi akitaka mashirika ya michezo barani Ulaya kuiondoa Israel katika mashindano ya kimataifa kutokana na mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza.
17:48 , 2025 Sep 12
Tamko la Mwisho la Mkutano wa 39 wa Umoja wa Kiislamu: Umoja ni Wajibu wa Kutekelezwa

Tamko la Mwisho la Mkutano wa 39 wa Umoja wa Kiislamu: Umoja ni Wajibu wa Kutekelezwa

IQNA – Mkutano wa 39 wa Umoja wa Kiislamu umehitimishwa Tehran, Iran kwa tamko la mwisho lililoangazia kuwa mshikamano wa Waislamu ni hitajio lisilokwepeka linalopaswa kutekelezwa kwa vitendo.
22:37 , 2025 Sep 11
Iraq yatoa stempu ya kumbukumbu kwa Maadhimisho ya Miaka 1,500 Tangu Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)

Iraq yatoa stempu ya kumbukumbu kwa Maadhimisho ya Miaka 1,500 Tangu Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)

IQNA – Msimamizi wa haram ya Hazrat Abbas (AS) huko Karbla, Iraq ametangaza kutolewa kwa stempu maalum ya kumbukumbu kwa ajili ya kuadhimisha miaka 1,500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
18:37 , 2025 Sep 11
Mwanazuoni wa Al-Azhar: Mtume (SAW) Ni Kielelezo Cha Milele

Mwanazuoni wa Al-Azhar: Mtume (SAW) Ni Kielelezo Cha Milele

IQNA – Mwanazuoni mashuhuri wa Al-Azhar, Dkt. Salama Abd Al-Qawi, ameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) kwa kutoa wito wa kutafakari urithi wake na changamoto zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu leo.
18:32 , 2025 Sep 11
Mtume Muhammad (SAW) Alikuwa ‘Kiumbe Mkamilifu Zaidi Aliyepambwa Kwa Sifa za Juu za Kibinadamu’

Mtume Muhammad (SAW) Alikuwa ‘Kiumbe Mkamilifu Zaidi Aliyepambwa Kwa Sifa za Juu za Kibinadamu’

IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Waislamu wa madhehebu Kishia nchini Iraq, Ayatullah Mkuu Mohammad al-Yaqoobi, ameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) kwa kutoa wito wa kumfuata Mtume katika maisha na jamii.
18:21 , 2025 Sep 11
Israel yashambulia Doha kuwalenga viongozi wa Hamas

Israel yashambulia Doha kuwalenga viongozi wa Hamas

IQNA-Ndege za kivita za Israel zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya makao makuu ya harakati za upinzani za Hamas katika mji mkuu wa Qatar, Doha, katika kile vyombo vya habari vya Israel vilikitaja kama “operesheni ya mauaji ya kisiasa.”
11:28 , 2025 Sep 10
Rais wa Iran alaani ugaidi wa Israel wa kuwalenga viongozi wa Hamas jijini Doha

Rais wa Iran alaani ugaidi wa Israel wa kuwalenga viongozi wa Hamas jijini Doha

IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kitendo chake 'haramu, cha kinyama na kinacholenga kuvuruga amani ya eneo,' baada ya utawala huo wa Kizayuni kushambulia ardhi ya Qatar na kuwaua shahidi viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
11:15 , 2025 Sep 10
Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake Tehran Wataka Kususiwa Kikamilifu kwa Utawala wa Kizayuni

Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake Tehran Wataka Kususiwa Kikamilifu kwa Utawala wa Kizayuni

IQNA – Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa wanawake uliofanyika Tehran wametoa wito wa kususiwa kwa kina kwa utawala wa Kizayuni, wakilaani vita vya mauaji ya halaiki vinavyoendelea dhidi ya Gaza.
14:38 , 2025 Sep 09
Mufti Mkuu wa Kroatia afafanua amri ya Mtume (SAW) kuhusu Umoja wa Waislamu

Mufti Mkuu wa Kroatia afafanua amri ya Mtume (SAW) kuhusu Umoja wa Waislamu

IQNA – Mufti Mkuu wa Kroatia, Sheikh Aziz Hasanović, amesema kuwa Mtume Mtukufu Muhammad (rehema na amani zimshukie) ameitoa amri kwa Ummah wa Kiislamu—na hiyo ni kudumisha umoja wa Waislamu.
14:32 , 2025 Sep 09
UNRWA: Njaa ya Gaza Iliyosababishwa na binadamu yaweza kusitishwa kwa azma ya kisiasa

UNRWA: Njaa ya Gaza Iliyosababishwa na binadamu yaweza kusitishwa kwa azma ya kisiasa

IQNA – Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetaja baa la njaa linaloikumba Ukanda wa Gaza kuwa ni janga lililosababishwa na binadamu, ambalo linaweza kuzuilika na kurekebishwa endapo kutakuwepo na nia ya dhati ya kisiasa.
14:26 , 2025 Sep 09
Mkutano wa Wanafunzi Vijana wa Qur’ani jijiniTehran

Mkutano wa Wanafunzi Vijana wa Qur’ani jijiniTehran

IQNA – Mnamo Septemba 7, 2025, Kituo cha Utamaduni wa Qur’ani kilichopo Tehran kilikuwa na mkutano ambapo wanafunzi vijana wa Qur’ani walikusanyika pamoja na walimu wao na qari maarufu wa Iran, Ahmad Abolghasemi, kusikiliza usomaji wa Qur’ani na kuboresha ufanisi wao.
14:04 , 2025 Sep 09
Wanasayansi kutoka India, Uturuki na Iran watunukiwa Tuzo ya Mustafa (SAW) ya Mwaka 2025

Wanasayansi kutoka India, Uturuki na Iran watunukiwa Tuzo ya Mustafa (SAW) ya Mwaka 2025

IQNA – Wanasayansi watatu mashuhuri ambao ni Mohammad K. Nazeeruddin kutoka India, Mehmet Toner kutoka Uturuki, na Vahab Mirrokni kutoka Iran wametangazwa kuwa washindi wa Tuzo ya Mustafa (SAW) ya mwaka 2025.
14:00 , 2025 Sep 09
1