IQNA

Syria Yazindua ‘Mushaf al-Sham’ Katika Maonesho ya Kimataifa ya Damascus

Syria Yazindua ‘Mushaf al-Sham’ Katika Maonesho ya Kimataifa ya Damascus

IQNA – Nakala maalum ya Qur’ani ya Kitaifa ya Syria, inayojulikana kama Mushaf al-Sham, imeonyeshwa rasmi katika banda la Wizara ya Wakfu wakati wa Maonesho ya 62 ya Kimataifa ya Damascus.
18:30 , 2025 Sep 05
Msomi aangazia suluhisho za Mapinduzi ya Kiislamu kwa migogoro ya kisasa 

Msomi aangazia suluhisho za Mapinduzi ya Kiislamu kwa migogoro ya kisasa 

IQNA – Mwanazuoni mwandamizi kutoka Iran amesema kuwa kulinganisha mtazamo wa Tauhidi wa Mapinduzi ya Kiislamu na mtazamo wa kisekula wa Magharibi kunasaidia kufichua kwa undani vipengele vya migogoro ya dunia ya leo.
18:22 , 2025 Sep 05
Mwanazuoni: Qur'ani Inafaa kwa zama zote

Mwanazuoni: Qur'ani Inafaa kwa zama zote

IQNA – Mwanazuoni wa Kiirani, Mohammad-Taqi Fayyazbakhsh, amesema kuwa Qur'ani Tukufu inaendelea kuwa ya kisasa na yenye mwongozo kwa kila zama na kila jamii, akisisitiza nafasi yake kama chanzo cha mwangaza wakati wa mkanganyiko.
17:58 , 2025 Sep 05
Kiongozi wa Ansarullah: Watu wa Yemen wameinua bendera ya Jihadi dhidi ya mabeberu wa zama

Kiongozi wa Ansarullah: Watu wa Yemen wameinua bendera ya Jihadi dhidi ya mabeberu wa zama

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah, Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi, amesisitiza kuwa watu wa Yemen wanaendelea kufuata mwenendo wa Mtume Muhammad (S.A.W) na mafundisho ya Qur’an Tukufu.
22:13 , 2025 Sep 04
Kuzindua dunia kuhusu Masaibu ya Wapalestina ni miongoni mwa malengo ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu

Kuzindua dunia kuhusu Masaibu ya Wapalestina ni miongoni mwa malengo ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu

IQNA – Miongoni mwa malengo makuu ya shughuli na mikakati ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu mwaka huu ni kuvuta hisia za dunia kuhusu dhulma na masaibu yanayowakumba ndugu zetu Wapalestina, afisa mmoja amesema.
17:58 , 2025 Sep 04
Mkishukuru Yeye hufurahika nanyi

Mkishukuru Yeye hufurahika nanyi

Katika dunia ya leo yenye misukosuko na harakati nyingi, wakati mwingine tunahitaji kusimama kwa muda mfupi na kupata utulivu. Mkusanyiko wa 'Sauti ya Wahy' ukiwa na chaguo la aya za Qur’ani ni mwaliko wa safari ya kiroho na yenye utulivu."
17:57 , 2025 Sep 03
Maqari wakongwe wa Qur’ani kutoka Nchi za ASEAN waenziwa huko Kuala Lumpur

Maqari wakongwe wa Qur’ani kutoka Nchi za ASEAN waenziwa huko Kuala Lumpur

IQNA – Maqari wakongwe wa Qur’ani kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) wamepongezwa kwa mafanikio yao katika Jukwaa la Kimataifa la Uhakiki wa Ijazah za Qur’ani na Kuheshimu Maqari wa ASEAN, lililofanyika nchini Malaysia.
17:47 , 2025 Sep 03
Raia wa Argentina akumbatia Uislamu nchini Misri

Raia wa Argentina akumbatia Uislamu nchini Misri

IQNA – Raia mmoja wa Argentina ameukumbatia Uislamu (amesilimu) katika Msikiti wa Mina uliopo katika jiji la Hurghada, nchini Misri.
17:42 , 2025 Sep 03
Watu 97,000 watembelea Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Madina mwezi Agosti

Watu 97,000 watembelea Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Madina mwezi Agosti

IQNA – Zaidi ya watu 97,000 kutoka mataifa mbalimbali walitembelea Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd kilichopo Madina, Saudi Arabia mwezi Agosti 2025.
17:37 , 2025 Sep 03
Iran yaanza maandalizi ya Hija ya mwaka ujao

Iran yaanza maandalizi ya Hija ya mwaka ujao

IQNA – Baraza la Mipango na Uratibu kutoka ofisi ya Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu katika Masuala ya Hija na Ziara, pamoja na Shirika la Hija na Ziara la Iran, wameanza maandalizi ya safari ya Hija ya mwaka ujao.
17:34 , 2025 Sep 03
Makumbusho ya Houston Yaonesha Karne za Sanaa ya Qur’ani Katika Maonyesho Mapya

Makumbusho ya Houston Yaonesha Karne za Sanaa ya Qur’ani Katika Maonyesho Mapya

IQNA – Jumba la Makumbusho ya Sanaa la Houston, jimbo la Texas nchini Marekani, linaandaa maonyesho ya nakala za Qur’ani kutoka maeneo mbalimbali ya ulimwengu wa Kiislamu.
17:29 , 2025 Sep 03
Msikiti wa Basildon Uingereza waharibiwa katika tukio la Chuki Dhidi ya Waislamu

Msikiti wa Basildon Uingereza waharibiwa katika tukio la Chuki Dhidi ya Waislamu

IQNA – Uharibifu wa msikiti mmoja huko Basildon wiki iliyopita umekemewa vikali na umeibua wasiwasi mpya kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) nchini Uingereza.
16:55 , 2025 Sep 02
Msikiti Maarufu wa al-Nouri Wafunguliwa Rasmi Nchini Iraq, Mosul

Msikiti Maarufu wa al-Nouri Wafunguliwa Rasmi Nchini Iraq, Mosul

IQNA – Msikiti wa kihistoria wa al-Nouri, ulioko katika jiji la Mosul kaskazini mwa Iraq, umefunguliwa rasmi baada ya kukamilika kwa operesheni ya ukarabati.
16:51 , 2025 Sep 02
Shirikisho la wasomi wa Qur’ani la Misri, lenye lengo la kugundua vipaji vipya kupitia mashindano ya kitaifa

Shirikisho la wasomi wa Qur’ani la Misri, lenye lengo la kugundua vipaji vipya kupitia mashindano ya kitaifa

IQNA – Rais wa Shirikisho la Wasomi wa Qur’ani la Misri amesema kuwa mashindano ya kitaifa yanafungua milango ya kugundua vipaji vipya miongoni mwa vijana wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
16:45 , 2025 Sep 02
Mashindano ya Qur’ani ya Kitaifa Nchini Tunisia yaanza sambamba na Miald-un-Nabi

Mashindano ya Qur’ani ya Kitaifa Nchini Tunisia yaanza sambamba na Miald-un-Nabi

IQNA – Mashindano ya kitaifa ya usomaji wa Qur’ani na uhifadhi wa Hadithi za Mtume Muhamad (SAW) yalifanyika katika jiji la Kairouan, Tunisia.
16:38 , 2025 Sep 02
3