iqna

IQNA

qurani tukufu inasemaje
Qur’ani Tukufu Inasemaje / 25
TEHRAN (IQNA) – Hasira ni miongoni mwa hisia zinazosababisha uadui na huwa na matokeo mabaya ya kijamii.
Habari ID: 3475980    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 24
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inasisitiza sana kuhusu kuepuka ubadhirifu kama njia ya kuboresha jamii, kuunda usawa na kuelekea kwenye wokovu katika jamii.
Habari ID: 3475970    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/22

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 23
TEHRAN (IQNA) – Moja ya sifa kuu za waumini ambayo imetajwa ndani ya Qur’an Tukufu ni kuzuia hasira, kusamehe na kuwafanyia wema wengine.
Habari ID: 3475969    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Qur'ani Tukufu Inasemaje /21
TEHRAN (IQNA) – Suala la umaskini limekuwa tatizo kubwa katika jamii za wanadamu katika historia. Je, mtazamo wa Uislamu ni upi kuhusu suluhisho la kimsingi la tatizo hili?
Habari ID: 3475959    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/20

Qur'ani Tukufu inasemaje/19
TEHRAN (IQNA) – Akirejea kutoka katika Hijja yake ya mwisho, Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) alipokea aya kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambazo zilifungamanisha kukamilika kwa jumbe zote za Mwenyezi Mungu na ujumbe mmoja maalum.
Habari ID: 3475954    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Qur’ani Tukufu Inasemaje/12
TEHRAN (IQNA) – Vigezo vya kutenda mema kumcha Mwenyezi Mungu vimetajwa katika aya moja ya Qur’ani Tukufu na vinaangazia mtazamo wa Qur’ani kuhusu jinsi Waislamu wanavyopaswa kuwa na tabia na imani wanazopaswa kuwa nazo.
Habari ID: 3475950    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

Qur’ani Tukufu Inasemaje/9
TEHRAN (IQNA) – Baada ya Mwenyezi Mungu kumuumba mwanadamu, kuna Yule mwenye kiburi aliyeaanza uadui dhidi yake.
Habari ID: 3475946    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17

Qur'ani Tukufu Inasemaje /29
TEHRAN (IQNA) – Mitume wawili wa Mwenyezi Mungu waliwahi kupewa jukumu la kutekeleza utume muhimu katika mazingira magumu. Wakaambiwa: Msiogope mimi nitakuwa pamoja nanyi.
Habari ID: 3475934    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15

Qur'ani Tukufu Inasemaje /31
TEHRAN (IQNA) - Mwenyezi Mungu SWT katika Qur'ani Tukufu amewakataza watu kuiga kipofu au au kufuata bila kuuliza.
Habari ID: 3475923    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/13

Qur’ani Tukufu Inasemaje/30
TEHRAN (IQNA) - Kila dini ina vigezo fulani juu ya aina gani ya chakula wafuasi wake wanaweza kula na nini wengine wanapaswa kuepuka.
Habari ID: 3475889    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Qur'an Tukufu Inasemaje/28
TEHRAN (IQNA) – Dini ambazo wafuasi wake wana imani ya Mwenyezi Mungu zina mambo mengi yanayofanana katika misingi lakini pia dini hizi zina tofauti au hitilafu.
Habari ID: 3475753    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08

Qur'ani Tukufu Inasemaje/25
TEHRAN (IQNA) - Hasira ni miongoni mwa hisia zinazosababisha uadui na kupelekea kuibuka matokeo mabaya ya kijamii. Uadui au uhasama unaweza kupunguzwa kwa njia fulani, lakini kuugeuzaa kuwa urafiki wa kindani ni jambo ambalo linaonekana kuwa lisilowezekana.
Habari ID: 3475670    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

Qur’ani Tukufu inasemaje /16
TEHRAN (IQNA) - Kuna sababu mbili zilizotajwa katika Qur’an Tukufu ambazo zinathibitisha Mwenyezi Mungu hana watoto. Wafasiri wa Qur’ani Tukufu wanasema sababu hizi ziko katika aya ya 117 wa Surah al-Baqarah.
Habari ID: 3475472    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

Qur'ani Tukufu Inasemaje /15
TEHRAN (IQNA) – Kaaba tukufu iliyoko Makka ni mahali ambapo Waislamu hutekeleza Hija na Umrah, lakini kwa mujibu wa Qur'ani, Kaaba ni kwa ajili ya mwongozo sio tu kwa Waislamu bali ulimwengu mzima.
Habari ID: 3475453    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/02