iqna

IQNA

kaligrafia
Sanaa katika Uislamu
IQNA - Mwandishi kaligrafia nchini Iran ambaye ni mtaalamu wa uandishi wa maandishi ya kidini, hususan aya za Qur'ani Tukufu, amebainisha wasiwasi kuhusu kupungua kwa idadi ya watu wanaojifunza kaligrafia ya Qur'ani.
Habari ID: 3478710    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/21

Utamaduni wa Kiislamu
IQNA - Mwandishi wa kaligrafia kutoka Misri ambaye amekamilisha uandishi wa Qur'ani Tukufu anasema kufikia mafanikio haya ni ndoto ya kila mwana kaligrafia Muislamu.
Habari ID: 3478235    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Utamaduni wa Kiislamu
IQNA - Msahafu ambao umeandikwa na wana kaligrafia kadhaa wa kike wa Iran umezinduliwa katika mji wa Qom, Iran.
Habari ID: 3478187    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/12

Utamaduni
IQNA - Msichana mdogo katika eneo la Kashmir linalotawaliwa na India amesifiwa kwa kazi yake ya kaligrafia ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478030    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mwandishi wa kaligrafia kutoka India Yusuf Husen Gori ameonyesha baadhi ya kazi zake kwenye Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3476856    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/12

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /7
TEHRAN (IQNA) - Saher al-Kabi ni mwandishi wa kisasa wa Palestina ambaye kazi zake nyingi zina maandishi matakatifu ambapo kaligrafia ya Msahafu wa Msikiti wa Al-Aqsa Mus'haf ni shughuli yake kuu ya kisanii katika kutumikia Qur'ani Tukufu na Uislamu.
Habari ID: 3476150    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26

Sanaa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la kimataifa kuhusu orthografia wa Qur'ani limezinduliwa katika mji mkuu wa Libya wa Tripoli siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475949    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeongeza kaligrafia ya Kiislamu na Kiarabu katika orodha yake ya mwaka 2021 ya Turathi za Kiutamaduni za Mwanadamu.
Habari ID: 3474684    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17

TEHRAN (IQNA) –Dereva wa taxi katika eneo la Hyderabad nchini India amefanikiwa kuandika nakala nzima ya Qur’ani kwa mkono katika kipindi cha miezi sita wakati wa zuio la kutotoka nje ya nyumba kufuatia kuibuka janga la corona.
Habari ID: 3473223    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/02

TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Libya amefanikiwa kuandika Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa maandishi ya kaligrafia .
Habari ID: 3472863    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13