TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu wa Yemen wameshiriki katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW katika miji mbali mbali ya nchi hiyo ambayo ingali inakabiliwa na hujuma kijeshi ya utawala dhalimu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3472208 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/10
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wageni 20,000 kutoka kote duniani wanahudhuria sherehe za Maulid ya Mtume SAW inayofanyika katika Kisiwa cha Lamu katika Pwani ya Kenya.
Habari ID: 3471307 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/12
TEHRAN (IQNA)-Sheikhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed el-Tayeb amealikwa kuhudhuria Mkutanowa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaofanyika wiki ijayo mjini Tehran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471286 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/28
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Bosnia Herzegovina wanaendelea na sherehe za Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471276 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24
TEHRAN (IQNA)-Mashindano kadhaa ya Qur’ani na Hadithi yanafanyika kote Algeria kwa munasaba wa Maulidi ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad al Mustafa SAW.
Habari ID: 3471275 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24
IQNA: Waislamu nchini Canada katika eneo la Peel, mkoa wa Ontario wameanza sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad SAW, Mtume wa Rehema kwa walimwengu.
Habari ID: 3470731 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10