iqna

IQNA

qatar
Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Mashabiki wa soka wa Waislamu ndani na nchi na kutoka mataifa mengine duniani walihudhuria Sala ya Ijumaa mjini Doha, Qatar huku Kombe la Dunia la kwanza katika nchi ya Kiislamu likiendelea.
Habari ID: 3476152    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)- Emir of Qatar Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani ameonekana akifurahia ushindi wa Timu ya Taifa ya Soka ya Iran wakati ilipoichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.
Habari ID: 3476148    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) – Wahubiri wa kiume na wa kike wenye uwezo wa kuzungumza lugha kadhaa katika Msikiti wa Kijiji cha Utamaduni cha Katara katika mji mkuu wa Qatar wa Doha wanatoa maelezo kuhusu Uislamu na halikadhalika wanabainisha uvumilivu wa dini hii tukufu kwa watalii wakati wa Kombe la Dunia la 2022.
Habari ID: 3476139    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)- Hatu ya kusomwa Qur'ani Tukufu katika sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar uliambatana na sifa nyingi kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii katika intaneti, kiasi kwamba neno 'Quran' kwa Kiingereza limeongoza kwa siku kadhaa katika maneneo yanayotafutwa katika mitandao ya kijamii hasa Twitter.
Habari ID: 3476132    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) - Kombe la Dunia la FIFA la 2022 nchini Qatar lilianza Novemba 20 kwa usomaji wa aya ya Qur’ani Tukufu na yamkini hii ni mara ya kwanza katika historia ya kombe hilo.
Habari ID: 3476127    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) amepuulizia mbali mashinikizo ya kutaka kuruhusiwa pombe viwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zinazoanza leo nchini Qatar.
Habari ID: 3476117    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20

Uislamu nchini Ghana
TEHRAN (IQNA) – Dua ya Kiislamu imepangwa na Shirikisho la Soka la Ghana (GFA) kwa ajili ya timu ya taifa ya nchi hiyo, inayoitwa Black Stars, kabla ya Kombe la Dunia la 2022 la Qatar.
Habari ID: 3476024    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina.
Habari ID: 3476023    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Maadili ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Qatar imetayarisha maandishi makubwa ya hadithi za Mtume Muhammad (SAW) yatakayowekwa maeneo muhimu wakati wa Kombe la Soka la Dunia la 2022.
Habari ID: 3476017    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu kutoka Misri Sheikh Youssef al-Qaradawi amefariki dunia siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475845    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Utawala wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Qatar imepinga ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia la FIFA 2022.
Habari ID: 3475777    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mchujo wa duru ya 27 ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani mwaka 2022 huko Doha, Qatar, imehudhuriwa na washindani wapatao 400.
Habari ID: 3475774    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Mashindano ya Qurani
TEHRAN (IQNA) - Washiriki 2,130 wa kiume na wa kike wamekamilisha usajili wao kwa Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim ya Qatar, kulingana na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3475752    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kampeni ya ‘Kujitolea kwa ajili ya Gaza’ imezinduliwa na Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Qatar.
Habari ID: 3475631    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Mkurugenzi kituo kimoja cha televisheni ya Qur’ani nchini Qatar ametangaza kukomeshwa kwa programu za kituo cha Runinga.
Habari ID: 3475529    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23

Maambukizi ya Covid-19
TEHRAN (IQNA) - Uvaaji wa barakoa ndani ya misikiti itakuwa ya lazima nchini Qatar kuanzia Alhamisi.
Habari ID: 3475470    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari za hivi karibuni ya Rais Bashar al-Assad wa Syria na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al-Thani nchini Iran zilikuwa za kimkakati na muhimu.
Habari ID: 3475244    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Amir wa Qatar
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.
Habari ID: 3475243    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/13

TEHRAN (IQNA) – Maktaba ya Kitaifa ya Qatar (QNL) inapanga kuandaa matukio kadhaa ya mtandaoni yaliyotolewa kwa ajili ya utafiti wa Misahafu.
Habari ID: 3475086    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/29

TEHRAN (IQNA)- Hatua ya mwisho ya mashindano ya 5 ya Qur'ani ya Katara ya Qatar itafanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani (Aprili).
Habari ID: 3474998    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/02