iqna

IQNA

shakhsia katika qurani
Shakhsia katika Qur'ani /21
TEHRAN (IQNA) - Watu wengi hawana subira mbele ya matatizo lakini wanapaswa kujua kwamba Mwenyezi Mungu anaweka magumu kwenye njia ya watu ili kuwajaribu. Nabii Ayub-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake (AS)-ambaye alikuwa ni mwenye kumshukuru Mwenyezi Mungu hata katika hali ngumu sana, anaweza kuwa mfano wa kuigwa katika suala hili.
Habari ID: 3476274    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu / 13
TEHRAN (IQNA) – Ni sunna ya Mwenyezi Mungu huwajaribu waja wake na mitihani hii wakati mwingine ni rahisi na wakati mwingine migumu. Hakuna mtu mwingine ambaye angeweza kustahimili mitihani ambayo Mwenyezi alimpa Nabii Ibrahim (AS).
Habari ID: 3476252    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15

Shakhsia katika Qur'ani /20
TEHRAN (IQNA) – Baada ya Nabii Yakub, Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake,- AS- kujulikana kama Isra’il, familia yake na watoto wake waliitwa Bani Isra’il (wana wa Isra’il). Watoto na vizazi vyake wengi waliishi Misri na Palestina.
Habari ID: 3476237    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/12

Shakhsia katika Qur’ani /19
TEHRAN (IQNA) – Nabii Yusuf ameelezewa kuwa ni mtume ambaye alikuwa na sura nzuri na mwenye utambuzi na ujuzi.
Habari ID: 3476202    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05

Shakhsia katika Qur’ani /18
TEHRAN (IQNA) – Mitume wa Mwenyezi Mungu walikuwa watu wake wateule waliopita mitihani migumu aliyowapa. Miongoni mwa mitihani hiyo ni ile ya Yakub-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake -(AS)- ambaye alilazimika kustahamili kutengana na mwanawe, Yusuf (AS), kwa muda wa miaka 50.
Habari ID: 3476173    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/30

Shakhsia Katika Qur’ani /17
TEHRAN (IQNA) – Is’haq alikuwa mtoto wa pili wa Nabii Ibrahim (AS). Is’haq (AS) alikuja kuwa mtume baada ya kaka yake Ismail (AS).
Habari ID: 3476157    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

Shakhsia Katika Qur’ani /16
TEHRAN (IQNA) – Ismail alikuwa mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahim –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS). Baada ya kuzaliwa, Ismail alipelekwa Makka pamoja na mama yake Hajar kwa amri ya Mwenyezi Mungu. Uhamaji huu ulikuwa mwanzo wa historia iliyotangaza kuwasili kwa Uislamu.
Habari ID: 3476124    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21

Shakhsia Katika Qur'ani /15
TEHRAN (IQNA) – Nabii Lut- Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS)- alikuwa miongoni mwa masahaba wa Nabii Ibrahim (AS) katika kuwalingania watu kwenye Tauhidi au imani Mungu Mmoja. Alipewa jukumu la kusafiri katika miji mingine ili kukuza Tauhidi
Habari ID: 3476093    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

Shakhsia Katika Qur'ani Tukufu / 14
TEHRAN (IQNA) – Watu wenye kutumia akili na wenye kutegemea mantiki hutumia mijadala au midahalo kushawishi au kuwakinaisha mwengine kuhusu mitazamoa yao. Mfano wa kihistoria wa mijadala ambayo Nabii Ibrahim –Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-(AS) alikuwa nayo na makundi tofauti.
Habari ID: 3476065    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

Shakhsia Katika Qur'ani / 8
TEHRAN (IQNA) – Nabii Idris (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ndiye aliyekuwa wa kwanza kuandika kwa kalamu, kwa mujibu wa riwaya. Ametajwa kuwa ni msomi mwanafikra, na mwalimu na anajulikana kuwa mwanzilishi wa sayansi nyingi kutokana na elimu aliyoipata kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476000    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/28

Shakhsia katika Qur’ani/5
TEHRAN (IQNA) – Qabil alikuwa mtoto wa kwanza wa Adam na Hawa. Hakuwa na tatizo na kaka yake Habil lakini kiburi na husuda vilimpelekea kutenda jinai ya kwanza mauaji ya kwanza katika historia ya mwandamu.
Habari ID: 3475979    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23

Shakhsia katika Qur'ani/4
TEHRAN (IQNA) – Nabii Adam (AS) ambaye alionywa kutokula tunda lililokatazwa, alikula na matokeo yake ni kufukuzwa peponi na kuteremshwa ardhini. Lakini tunda hilo lilikuwa nini? Apple, zabibu au ngano?
Habari ID: 3475974    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/22

Shakhsia katika Qur'ani / 11
TEHRAN (IQNA) – Nabii Saleh, Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake –AS- alichaguliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mtume alipokuwa na umri wa miaka 16 na kwa miaka 120, alijaribu kuwaalika watu kwenye njia iliyonyooka lakini ni watu wachache waliokubali mwaliko wake na waliokolewa na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475935    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15

Shakhsia katika Qur’ani / 12
TEHRAN (IQNA) – Nimrud amegeuka kuwa alama katika historia, alama ya mtu aliyejiona kuwa bwana wa ardhi na mbingu lakini akauawa na mbu.
Habari ID: 3475929    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

Shakhsia katika Qur’ani /10
TEHRAN (IQNA) – Nabii Hud (AS) alitumia zaidi ya miaka 700 kuwaongoza watu wake kwenye ukweli lakini wengi wao walikataa kuukubali ukweli.
Habari ID: 3475895    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Shakhsia katika Qur'ani/3
TEHRAN (IQNA) - Kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu, hakuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyefanya dhambi au kosa lolote. Ikiwa ndivyo, mtu anawezaje kueleza na kuhalalisha uasi wa Nabii Adam (AS)?
Habari ID: 3475841    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Shakhsia katika Qur'ani/2
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu, Hawa ni Mama wa ubinadamu ambaye asili ya kuwepo kwake ni sawa na ile ya Nabii Adam (AS).
Habari ID: 3475544    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26

Shakhsia katika Qur’ani/1
TEHRAN (IQNA)- Adamu (AS) ndiye baba wa jamii ya sasa ya mwanadamu na halikadhalika alikuwa Nabii kwa kwanza. Mwanadamu wa kwanza ndiye aliyekuwa Nabii wa kwanza ili mwanadami asiachwe kamwe bila mwongozo.
Habari ID: 3475530    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23