Katika klipu ya video ambayo imeenezwa katika mitandao ya kijamii kupitia chuo cha Darul Qur’an al Karim kinachofungamana na Kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani , qarii huyo wa mashuhuri anasoma Qur’ani Tukifi akiwa amevaa barakoa.
Klipu hiyo inamyonyesha akisoma aya za Qur’ani Tukufu za Surah Ar-Rum. Sheikh Taruti na baadhi ya hadhirina wanaonekana wakiwa wamevaa barakoa ikiwa ni katika kufuata kanuni zilizowekwa za kuzuia kuenea ugonjwa wa corona au COVID-19.