Wanachuo 9000 wa kidini kutoka mataifa 72 duniani wameshiriki katika awamu ya 16 ya Olimpiadi ya Kimataifa ya Qur'ani na Hadithi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) mjini Qum, Iran.
2010 Nov 18 , 12:39
Programu 11 mpya za kompyuta zenye sayansi za Kiislamu zitazinduliwa na kitengo cha technohama (IT) cha Chuo cha Kidini (Hawza) cha Qum.
2010 Nov 18 , 12:33
Awamu ya tatu ya mpango wa Qur'ani wa 'Kheirukum' (Mbora Wenu) utatekelezwa mwaka huu nchini Kuwait.
2010 Nov 16 , 11:45
Kongamano la Nane la Maqari na Wanaharakati wa Qur'ani linafanyika leo Novemba 15 katika Msikiti wa Jamia wa Imam Sadiq (AS).
2010 Nov 15 , 12:35
Mafunzo ya kusoma Qur'ani na sheria za Kiislamu makhsusi kwa wanawake waliosilimu yataanza tarehe 20 Novemba mwaka huu mjini London.
2010 Nov 13 , 15:55
Kongamano la kimataifa la 'Qur'ani Tukufu na Masuala ya Kisasa' limepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Kenya Nairobi kwa ushirikiano wa Kitengo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Idara ya Filosofia ya Chuo Kikuu cha Nairobi.
2010 Nov 13 , 14:21
Uturuki itaandaa kikao cha 10 cha Jumuiya ya Kimataifa ya Miujiza ya Qur'ani na Sunna.
2010 Nov 13 , 13:48
Kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kimefanyika katika mji mtakatifu wa Makka Ijuma Novemba 12usiku na kushirikisha maqari kutoka Iran, Saudi Arabia na Iraq.
2010 Nov 13 , 13:46
Kituo cha Qurani cha Iran (Darul Quran) kinapanga shughuli kadhaa za Qurani katika kipindi cha miezi mitano ijayo.
2010 Nov 11 , 13:05
Mashirika ya kuzalisha makaratasi duniani na taasisi za uchapisaji za kimataifa zimetangaza kuwa zimeanzisha vitengo maalumu vya kuchapisha Qur'ani Tukufu kufutia ongezeko kubwa la watu wanaotaka kusoma kitabu hicho kitakatifu.
2010 Nov 11 , 11:32
Washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yaliyofanika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kwa himaya ya Jumuiya ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu wametunukiwa zawadi.
2010 Nov 10 , 19:01
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Azad nchini Iran kimeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu yatakayowashirikishi wanachuo na wahadhiri zaidi ya laki mbili.
2010 Nov 09 , 10:56
Washindi wa Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya wafanyakazi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Novemba 8.
2010 Nov 09 , 10:28