Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW cha Qum nchini Iran kimeanzisha vituo 110 vya Qur'ani –Dar-ul-Quran- katika zaidi ya nchi 50 duniani.
2010 Nov 28 , 08:35
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Misri ikishirikiana na vyombo vya usalama nchini humo imekusanya karibu nakala 4000 za Qur’ani Tukufu ambazo zimepotoshwa kwa kufutwa baadhi ya aya za sura za kitabu hicho na zina makosa makubwa na kinahau, lugha na maandishi.
2010 Nov 27 , 10:08
Hatua ya mwisho ya awamu ya 12 ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Imarati, imepangwa kufanyika tarehe 22 hadi 31 Januari mwakani.
2010 Nov 23 , 18:52
Karii wa Qur'ani wa Uingereza anayeshiriki katika Mashindano ya Tatu ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu nchini Iran amesema kuwa anaamini suala muhimu na la kwanza kwa karii na msomaji Qur'ani ni kujisabilia na kujitoa wakfu kwa ajili ya kitabu hicho kitakatifu na kutafuta muradi wake katika aya za kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
2010 Nov 23 , 16:04
Kitabu cha Qur'ani ya sauti kilichotayarishwa na kampuni ya Trout Lake Media ya Marekani kinaongoza katika orodha ya vitabu vinavyouzwa katika mtandao wa Audible.com katika mwezi huu wa Novemba.
2010 Nov 23 , 15:38
Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya kuhifadhi, kusoma na kufasiri Qur'ani Tukufu ya Saudi Arabia yataanza tarehe 27 Disemba katika mji mtakatifu wa Makka.
2010 Nov 22 , 17:54
Olimpiadi ya Wanaume ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Moustafa SAW imemalizika katika mji wa Qum nchini Iran.
2010 Nov 22 , 16:28
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia imetahadharisha juu ya kuingizwa nchini humo nakala za Qur'ani zilizo na kasoro za chapa au upungufu na ukaririwaji wa aya zake tukufu.
2010 Nov 22 , 16:15
Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yatafanyika Januari 9-12 katika mji mtakatifu wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
2010 Nov 21 , 14:50
Fainali ya Mashindano ya Qur'ani ya vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafanyika Jumapili Novemba 21 katika mji wa Isfahan kati wa Iran.
2010 Nov 21 , 14:37
Mamia ya Waislamu wanaoishi katika mji mkuu wa Ugiriki, Athens wameandamana wakipinga kitendo cha polisi mmoja wa Ugiriki cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
2010 Nov 20 , 11:00
Zaidi ya nakala 10,000 za Qur'ani iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiholanzi zitatawanywa mwezi ujao wa Miladia kwa Waislamu na wasio Waislamu wa nchi hiyo.
2010 Nov 20 , 10:58
Wanachuo 9000 wa kidini kutoka mataifa 72 duniani wameshiriki katika awamu ya 16 ya Olimpiadi ya Kimataifa ya Qur'ani na Hadithi ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) mjini Qum, Iran.
2010 Nov 18 , 12:39