Mipango na ratiba za kiutamaduni ni fursa nzuri ya kutangaza Uislamu na wasomi na wataalamu wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika shughuli hizo.
2010 Dec 12 , 09:10
Mashindano ya kitaifa ya tilawa na tajwid ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto wa kati ya umri wa miaka 9-12 yameanza Disemba 11 katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
2010 Dec 12 , 08:43
Washindi wa mashindano yajulikanayo kama "Majina ya Kudumu ya Qur'ani Tukufu" wameenziwa katika hafla iliyofanyika Beirut mji mkuu wa Lebanon.
2010 Dec 11 , 16:16
Kikao cha nne cha Miujiza ya Kisayansi ya Qur'ani Tukufu kimefanyika Disemba 9 katika mji mkuu wa Jordan Amman.
2010 Dec 11 , 16:11
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani na harakati husika za kiutamaduni ni fursa muafaka ya kueneza ujumbe wa dini tukufu ya Kiislamu.
2010 Dec 11 , 16:05
Fainali ya Mashindano ya Qur'ani ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafanyika Tehran kuanzia Disemba 20.
2010 Dec 08 , 19:04
Wito umetolewa wa kutaka tafsiri ya Qur'ani izingatiwe zaidi kuliko kiraa katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanachuo wa Kiislamu ambayo hufanyika Iran kila mwaka.
2010 Dec 08 , 18:48
Duru ya nane ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanayofanyika chini ya anwani ya Sayyid Juneid imeanza katika Kituo cha Kiislamu cha Ahmad al-Fatih katika mji wa Manama nchini Bahrain.
2010 Dec 07 , 16:58
Abdul Rahman Al Hafiyian, karii mashuhuri wa Tunisia na mmoja kati ya wataalamu wa ngazi za juu wa sayansi ya usomaji Qur'ani nchini Tunisia ameaga dunia.
2010 Dec 07 , 16:28
Nuskha ya Qur'ani Tukufu ya mbao imezinduliwa katika hafla iliyofanyika Tehran.
2010 Dec 06 , 17:12
Upashaji habari kuhusu Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu unaridhisha na suala hilo linaonesha umuhimu mkubwa unaotolewa na viongozi wa Iran kwa masuala ya Qur'ani.
2010 Dec 05 , 15:59
Kikao cha pili cha mijadala ya kitaalamu kuhusu utafiti wa Qur'ani wa Imam Mussa Sadr kimepangwa kufanyika kesho Jumatatu katika makao makuu ya Shirika la Kimataifa la Habari za Qur'ani IQNA mjini Tehran.
2010 Dec 05 , 15:58
Masomo ya 'fikra za kiufumbuzi katika kuhifadhi Qur'ani Tukufu' yalianza siku ya Alkhamisi huko Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania.
2010 Dec 04 , 13:46