Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia ametoa pendekezo la kufanyika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya vipofu.
2010 Dec 19 , 08:21
Kongamano la Muujiza wa Kisayansi wa Qur'ani Tukufu limepangwa kufanyika tarehe 15 Januari katika mji wa Marseille nchini Ufaransa.
2010 Dec 19 , 08:20
Moja ya Qur’ani ndogo zaidi kuliko zote duniani inahifadhiwa katika mji wa Uthmanabad katika jimbo la Maharashtra nchini India.
2010 Dec 18 , 14:26
Kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kilifanyika Jumatano usiku hadi Alhamisi asubuhi (Siku ya Ashura) katika Msikiti wa Al Mahdi mjini Rey kusini mwa Tehran.
2010 Dec 18 , 13:07
Warsha ya kwanza ya kimataifa ya Qur'ani yenye anuani ya ‘Mafundisho na Hifdhi ya Qur'ani’ itafanyika nchini Kuwait chini ya kauli mbiu ya ‘kushirikiana katika kuhudumia Qur'ani’.
2010 Dec 18 , 12:53
Awamu ya 11 ya Mashindano ya Qur'ani ya Kitaifa ya Ras al-Khaima katika Umoja wa Falme za Kiarabu yamepangwa kuanza Februari 11.
2010 Dec 18 , 12:44
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ya Mash'had nchini Iran yatainawirisha zaidi sura ya Kiqur'ani ya Iran na ni hatua ya kueneza mafundisho ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu kote duniani.
2010 Dec 14 , 17:04
Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu ni fursa muafaka ya kuwawezesha wasomi wa Qur'ani Tukufu duniani kujuana ili waweze kuimarisha umahiri wao wa masuala ya Qur'ani.
2010 Dec 14 , 16:07
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaandaa mashindano ya pamoja ya Qur'ani mwezi Februari mwakani kwa lengo la kuenzi urafiki wa majeshi ya Iran na Oman.
2010 Dec 13 , 16:49
Warsha ya masomo ya kutadabari Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia mwezi Januari mwakani.
2010 Dec 13 , 16:37
Kongamano la Amani, Umoja na Usawa katika Mtazamo wa Qur’ani Tukufu limefanyika katika mji wa Lucknow katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India.
2010 Dec 13 , 16:27
Abdullah bin Abdul Aziz al-Muslih, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Muujiza wa Kielimu wa Qur'ani na Sunna za Mtume (saw) amesisitiza juu ya umuhimu wa kutumiwa muujiza wa kielimu wa Qur'ani katika kusukuma mbele mazungumzo ya tamaduni tofauti.
2010 Dec 12 , 16:48
Mipango na ratiba za kiutamaduni ni fursa nzuri ya kutangaza Uislamu na wasomi na wataalamu wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika shughuli hizo.
2010 Dec 12 , 09:10