Mashindano ya 32 ya kimataifa ya kusoma, hifdhi na kufasiri Qur'ani Tukufu yataanza kesho tarehe 26 Disemba katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudi Arabia.
2010 Dec 25 , 16:41
Karii mashuhuri wa Qur'ani nchini Iran amehimiza kuanzishwa mafunzo ya kiraa ya Qur'ani Tukufu kupitia intaneti kwa ajili ya wanafunzi wa kimataifa.
2010 Dec 25 , 12:48
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi za Palestina yalimalizika Jumamosi iliyopita katika mji wa Jericho.
2010 Dec 23 , 13:00
Nakala ya Qur’ani yenye umri wa miaka elfu moja ilioandikwa kwa hati za mkono imegunduliwa hivi karibuni katika jimbo la Gansu huko kaskazini magharibi mwa China.
2010 Dec 22 , 14:02
Kufanyika kwa mafanikio duru ya tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu kunaweza kuandaa uwanja unaofaa wa kudumishwa mawasiliano kati yao na hivyo kupelekea kubuniwa mtandao imara na madhubuti wa wanachuo wa Kiislamu duniani.
2010 Dec 22 , 11:59
Usajili wa majina ya watu walio na hamu ya kushiriki katika masomo ya usomaji Qur'ani Tukufu ya mwaka ujao wa 2011 utaanza hapo kesho Jumatano katika mji mkuu wa Niger, Niamey.
2010 Dec 21 , 16:52
Duru ya saba ya mashindano ya kimataifa ya usomaji Qur'ani Tukufu, ambapo wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanashiriki, yataanza hapo kesho Jumatano katika mji wa Bhopal huko India.
2010 Dec 21 , 16:50
Zaidi ya wanafunzi 40 elfu wanapata mafunzo katika shule 1001 za Qurani mkoani Mazandaran kaskazini mwa Iran.
2010 Dec 21 , 12:45
Mohammat Khatib na Hamed Valizadeh watawakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qurani kwa ajili ya wanachuo Waislamu.
2010 Dec 21 , 12:45
Vitivo vya Sayansi za Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimepanga kusajili wanachuo wapya wa shahada ya uzamivu (Ph.D) katika mustakabali wa karibu, amesema Mkuu Chuo Kikuu cha Awqaf cha Sayansi za Qur'ani na Utamaduni.
2010 Dec 20 , 14:16
Duru ya 14 ya mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa Bahrain ambayo yanawashirikisha wanafunzi 250 imepangwa kufanyika nchini humo kati ya tarehe 26 na 27 Disemba.
2010 Dec 19 , 14:56
Idhaa ya Qur'ani Tukufu ya Nablos huko Palestina jana Jumamosi ilianza tena kurusha hewani vipindi vyake baada ya kuzuiwa kufanya hivyo na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Palestina hapo tarehe 13 Disemba.
2010 Dec 19 , 14:49
Mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia ametoa pendekezo la kufanyika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya vipofu.
2010 Dec 19 , 08:21