Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa ushirikiano katika juhudi za kuanzisha vituo vya kufunza Qur'ani –Darul Qur'an- nchini Ufilipino.
2011 Jan 04 , 13:18
Kati ya malengo muhimu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni kustawisha mafundisho halisi ya ‘Uislamu wa Mtume Muhammad SAW’ ambao ni kinyume cha Uislamu unaoenezwa na Marekani.
2011 Jan 03 , 13:04
Suala la kuanzisha jumuiya ya kimataifa ya vyuo vikuu vya Kiislamu itajadiliwa pembizoni mwa Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Januari 9-11 katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran .
2011 Jan 03 , 12:57
Kituo cha Habari cha Kiislamu cha Chuo Kikuu cha Waterloo kimepiga hatua mpya ya kutoa ombi la kugawa nakala moja ya Qur'ani Tukufu kwa kila mwanafunzi wa darasa la tano la shule za Waterloo katika mkoa wa Ontario nchini Canada.
2011 Jan 02 , 11:42
Duru ya 15 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'an nchini Kuwait imeanza.
2011 Jan 02 , 11:41
Mradi wa kwanza wa kimataifa wa kutoa mafunzo ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa njia ya elektroniki (intaneti) umeanza huko Saudia kwa himaya ya Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur'ani katika mkoa wa Al Habil.
2011 Jan 02 , 11:38
Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu ya al Azhar nchini Misri imependekeza adhabu ya kifungo cha miaka 15 jela, faini ya lira elfu tano za Misri na kusimamishwa kazi miaka mitatu kwa taasisi yoyote ya uchapishaji itakayopotosha Qur'ani Tukufu na hadithi za Mtume Muhammad (saw).
2011 Jan 01 , 16:26
Idhaa ya Kiislamu ya Nur ilizinduliwa jana Ijumaa huko katika mkoa wa Adamaoua nchini Cameroon.
2011 Jan 01 , 12:38
Serikali ya Saudi Arabia imefuta marufuku ya wageni kufundisha Qur'ani nchini huyo baada ya Jumuiya ya Kheri ya Kuhifadhisha Qur'ani kutoa kibali kinachowaruhusu baadhi ya raia wa kigeni kuanzisha masomo ya Qur'ani.
2010 Dec 31 , 09:44
Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yanaweza kuwa na mchango muhimu katika kuwasilisha taswira halisi ya Kiislamu ya Iran duniani.
2010 Dec 30 , 12:48
Tarjumi ya lugha ya Kifarsi ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa na Spika wa Zamani wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Dkt. Gholam Ali Haddad Adel itachapishwa Machi mwaka 2011.
2010 Dec 30 , 12:46
Madrasa ya wanawake ya mafunzo ya Qur'ani ya Dar as-Sumuw ya Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, imechaguliwa kuwa madarasa na kituo bora zaidi cha mafundisho ya Qur'ani katika mwaka uliopita wa Hijria wa 1431.
2010 Dec 30 , 12:03
Makarii na mahafidh 30 wa Qur’ani Tukufu walichuana jana Jumanne katika siku ya pili ya Mashindano ya Kimataifa Qur’ani Tukufu yanayoendelea nchini Saudi Arabia.
2010 Dec 29 , 14:10