Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni (ISESCO) limetoa mchango wa kifedha kwa Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu katika mji wa Mash'had, Iran, ili kuandaa Awamu ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yanayoanza Januri 9-11.
2011 Jan 09 , 12:01
Mashindano ya kila miaka miwili ya kimataifa ya Qur'ani ya wanachuo Waislamu yanapaswa kufanyika katika nchi mbalimbali za Kiislamu, amesema Naibu Mkuu wa Jiji la Tehran.
2011 Jan 08 , 13:46
Kituo cha Mawasilino ya Kiislamu cha Chuo Kikuu cha Waterloo nchini Canada kimeanza kugawa nakala za kitabu kitakatifu cha Qur’ani kati ya wanafunzi wa shule msingi za eneo la Waterloo.
2011 Jan 08 , 13:26
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yatawapa motisha wanachuo ili waweza kujibidiisha na hivyo kupata mafanikio zaidi.
2011 Jan 08 , 13:25
Washindi wa Olimpiadi ya Kimataifa ya Qur'ani na Hadithi wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Januari sita katika Chuo Kikuu cha al Huda katika Mji Mtakatifu wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
2011 Jan 08 , 13:16
Semina ya Qur'ani Tukufu na Familia imepangwa kufanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Marekani ikisimamiwa na Taasisi ya Bayyinah.
2011 Jan 06 , 11:45
Mkuu wa Kamisheni ya Masuala ya Kidini katika Bunge la Misri Mahmoud al Sharif ameunga mkono pendekezo la Jumuiya ya Uhakiki wa Kiislamu ya al Azhar la kushadidisha adhabu kwa wanaochapisha nakala zenye makosa za Qur'ani Tukufu na hadithi za Mtume (saw)..
2011 Jan 06 , 11:40
Washiriki 42 wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran waliofanikiwa katika Mashindano ya Qur'ani ya wanajeshi wametunukiwa zawadi.
2011 Jan 05 , 18:06
Mashindano ya 32 ya kimataifa ya kuhifadhi, tajwidi na tafsiri ya Qur’ani yamemalizika nchini Saudi Arabia huku wawakilishi wa nchi za Kiafrika wakishika nafasi nyingi zaidi za juu za mashindano hayo.
2011 Jan 05 , 08:24
Wawakilishi wa Tanzania wanatazamiwa kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika siku chache zijazo katika mji mtakatifu wa Mash’had nchini Iran.
2011 Jan 05 , 08:17
Madrasa ya Qur'ani ya Mauritania inayodhaminiwa na ubalozi wa Gambia nchini humo imefunguliwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchot kwa ushirikiano na Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Mauritania.
2011 Jan 05 , 08:12
Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Tuzo ya Mfalme Muhammad wa Sita yatafanyika tarehe 4 hadi 7 Februari katika mji wa Casablanca nchini Morocco.
2011 Jan 04 , 16:16
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa ushirikiano katika juhudi za kuanzisha vituo vya kufunza Qur'ani –Darul Qur'an- nchini Ufilipino.
2011 Jan 04 , 13:18