Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qurani ya Wanachuo Waislamu yalimalizika Januari 11 usiku katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
2011 Jan 12 , 13:14
Kuongezeka kwa hisia ya uwajibikaji na kunufaika kwa kiwango cha juu na mafundisho ya Qur'ani maishani ni sifa ya kimsingi inayofuatiliwa na wanaharakati wa Qur'ani na watu wanaofarijika na kitabu hicho kitakatifu.
2011 Jan 12 , 13:11
Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Qatar Dr. Ghaith bin Mubarak al Kuwari ameamuru ibuniwe kamati mpya ya kuandaa mashindano ya 18 ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu mwaka huu wa 1432 H.
2011 Jan 12 , 13:06
Sheikh wa makarii wa Qur'ani wa Misri ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Muungano wa Makarii na Mahafidhi wa Qur'ani nchini humo Abul Ainain Shuaisha amemtunuku karii wa kimataifa wa Iran Rahim Khaki "Hati ya Ustadi" katika kusoma Qur'ani Tukufu.
2011 Jan 12 , 12:56
‘Jukumu la mahafidh wa Qur'ani ni muhimu sana katika jamii’, amesema mwakilishi wa Syria katika Mashindano ya Tatu ya Qur'ani ya Kimataifa ya Wanachuo Waislamu.
2011 Jan 12 , 12:51
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeendesha kwa njia ya kuridhisha Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu.
2011 Jan 11 , 21:16
Mahafidh wa Qur'ani Tukufu wana nafasi na majukumu muhimu na jamii ina matarajio makubwa kutoka kwao.
2011 Jan 11 , 14:32
Kufanyika mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika kiwango cha kimataifa ni hatua muhimu katika kufikia umoja wa Kiislamu na kueneza mafundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
2011 Jan 11 , 14:28
Kituo kimoja cha hifdhi ya Qur'ani Tukufu nchini Gambia kimetaka kutengwa fedha zaidi kwa ajili ya kuzisaidia taasisi za Qur'ani za nchi hiyo ili ziweze kuhuisha sunna ya kuhifadhi Qur'ani na kuifikisha kwa vizazi vijavyo.
2011 Jan 11 , 14:17
“Kuanzishwa mitandao mipya kwa msingi wa Qur'ani Tukufu ni moja kati ya mafanikio ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani”.
2011 Jan 10 , 13:47
Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yameanza Januari 9 usiku katika mji mtakatifu wa Mash'had.
2011 Jan 10 , 13:03
Awamu ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yanaanza leo Januari tisa katika mji mtakatifu wa Mash'had Kaskazini Mashariki mwa Iran.
2011 Jan 09 , 13:24
Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni (ISESCO) limetoa mchango wa kifedha kwa Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu katika mji wa Mash'had, Iran, ili kuandaa Awamu ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yanayoanza Januri 9-11.
2011 Jan 09 , 12:01