Duru ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya utamaduni, elimu na jamii ya Kuwait yamepangwa kuanza hivi karibuni nchini humo kwa kufanyika mashindano ya Qur'ani na Tajwidi.
2011 Jan 18 , 13:11
Kuibuka vipawa vipya vya Qur'ani ni kati ya matokeo mazuri ya Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
2011 Jan 18 , 13:08
Kamati ya Qur'ani katika sherehe za Alfajiri 10 imetangaza mipango yake katika maadhimisho ya mwaka wa 32 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
2011 Jan 18 , 12:47
Wizara ya Sayansi na Teknolojia ya Malaysia imetangaza kuwa imetenga bajeti maalumu kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa programu za Qur'ani nchini humo.
2011 Jan 18 , 12:42
"Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni fursa nzuri ya kuanzisha mitandao ya kijamii kwa msingi wa Qur'ani Tukufu".
2011 Jan 17 , 16:17
Mashindano ya Kimataifa ya Kiraa ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa vijana wenye umri wa miaka 9-12 yatafanyika Qatar kwa himaya ya Kanala ya Televisheni ya Watoto ya Al Jazeera ikishirikiana na Wizara ya Waqfu na Masuala ya Kiislamu ya Qatar.
2011 Jan 17 , 16:04
Kamati inayosimamia uchaguzi wa shakhsia bora wa Qur'ani nchini Qatar metangaza kwamba Abdallah Basifr, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimatifa ya Hifdhi ya Qur'ani Tukufu ndiye shakhsia bora wa Qur'ani katika ulimwengu wa Kiarabu katika mwaka uliopita wa 2010.
2011 Jan 15 , 13:34
Jengo jipya la Jumba la Kitaifa la Makumbusho ya Qur'ani nchini Iran litafunguliwa mezi Februari kwa mnasaba wa siku za Alfajiri Kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
2011 Jan 13 , 12:48
Jopo la majaji katika Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu limetangaza kuwa wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshika nafasi za kwanza katika vitengo viwili vya qiraa na hifdhi ya Qur'ani nzima.
2011 Jan 13 , 12:46
Kituo cha uchapishaji Qur'ani cha Mfalme Fahd katika mji mtakatifu wa Madina kimelalamikia vikali ughali wa nuskha za Qur'ani Tukufu unaofanywa na baadhi ya maduka ya mji huo na kuwataka viongozi husika wa serikali kukabiliana na jambo hilo.
2011 Jan 13 , 11:31
Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Brunei umeizawadia shule ya sekondari ya Sayyidna Hussein (as) nuskha kadhaa za Qur'ani Tukufu.
2011 Jan 13 , 11:29
Kasisi aliyeivunjia heshima Qur'ani wa Marekani Terry Jones amechukua uamuzi wa kuitisha siku ya kimataifa ya kuihukumu Qur'ani.
2011 Jan 12 , 17:00
Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qurani ya Wanachuo Waislamu yalimalizika Januari 11 usiku katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran.
2011 Jan 12 , 13:14