Msemaji wa Chuo Kikuu cha Manchester nchini Uingereza amesema kuwa chuo hicho kitaonyesha nakala nadra ya Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za mkono yapata miaka 500 iliyopita.
2011 Jan 23 , 10:11
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC nchini Iran limepanga kuanzisha mashindano ya kitaifa ya Qurani kuanzia Februari 13-16 mjini Tehran.
2011 Jan 23 , 10:11
Mashindano ya Qur'ani yajulikanayo kama “Urafiki wa Majeshi ya Iran na Oman” yatafanyika Januari 29-30 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2011 Jan 23 , 09:14
Ghana, nchi ya Kiafrika yenye watu wa dini tofauti wanaoishi pamoja kwa amani, inakabiliwa na uhaba wa walimu hodari wa lugha ya Kiarabu kwa ajili ya wanafunzi wa Qur'ani.
2011 Jan 22 , 21:15
Vikao vya mafunzo ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu vilianza jana Ijumaa huko katika mji wa Cape Town Afrika Kusini na vitaendelea hadi Jumatatu tarehe 24 mwezi huu wa Januari.
2011 Jan 22 , 11:51
Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo madrasa 50 elfu za Qur'ani zitafunguliwa kote nchini.
2011 Jan 22 , 11:21
Sherehe ya kushukuru na kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur'ani Tukufu wa shule ya hifdhi ya Qur'ani ya Abubakr bin Hafs ya nchini Saudi Arabia imefanyika huko katika mji wa Jeddah.
2011 Jan 20 , 13:02
Mashindano ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya watoto wenye umri wa kati ya miaka 7 na 18 yalimalizika Jumanne tarehe 18 Januari katika mji wa Karawan nchini Gambia.
2011 Jan 19 , 19:31
Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yalishuhudia mchuano mkali zaidi katika hifdhi kuliko qiraa.
2011 Jan 19 , 13:31
Mashindano ya kila mwaka ya masomo ya Qur'ani ya Jumuiya ya ad-Dhikrul Hakim yamepangwa kufanyika mwezi Machi mwaka huu nchini Bahrain.
2011 Jan 18 , 18:21
Mradi wa Qur'ani ujulikanao kama Taj al-Wiqar' unaowahusisha wanafunzi unaendelea nchini Jordan.
2011 Jan 18 , 18:19
Taasisi ya elimu ya Bayyinah imeazimia kuanzisha masomo ya muda ya tafsiri ya Qur’ani katika mji wa Dallas nchini Marekani katika kipindi cha kiangazi mwaka huu.
2011 Jan 18 , 17:38
Duru ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya utamaduni, elimu na jamii ya Kuwait yamepangwa kuanza hivi karibuni nchini humo kwa kufanyika mashindano ya Qur'ani na Tajwidi.
2011 Jan 18 , 13:11