Taasisi ya Dar al-Qur'an ya Qatar inayofungamana na Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya nchi hiyo imeanzisha mafunzo ya Qur'ani Tukufu kupitia mtandao katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha kwa ushirikiano wa Shirika la Mji wa Eletroniki la nchi za Kiarabu.
2011 Jan 30 , 16:57
Hatua ya utangulizi ya mashindano ya kitaifa ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu makhsusi kwa vijana inatazamiwa kuanza tarehe 26 Februari nchini Afrika Kusini.
2011 Jan 30 , 16:56
Marehemu Allamah Muhammad Jawad Mughniya aliathiriwa na masuala ya kisiasa na kijamii ya wakati huo katika tafsiri yake ya al Kashif.
2011 Jan 30 , 15:02
Katika mkutano na Ayatullah Muqtadai Mkuu wa Chuo cha Kidini cha Qum, bodi ya wakurugenzi wa Jumuiya ya Watafiti wa Qur'ani imesisitiza kuhusu umuhimu wa kuanzishwa Taasisi ya Kutarjumi Qur'ani katika Chuo cha Kidini cha Qum.
2011 Jan 30 , 13:42
Imependekezwa kuwa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yafanyike kila mwaka badala ya kila miaka miwili.
2011 Jan 29 , 14:48
Duru ya kumi ya msomo maalumu ya kila mwaka kwa walimu wa Qur'ani Tukufu katika mkoa wa Taif nchini Saudi Arabia imeanza leo Jumamosi.
2011 Jan 29 , 14:44
Mkutano wa Ijue Qur’ani Tukufu umefanyika katika jimbo la Georgia nchini Marekani kwa lengo la kuchunguza nafasi ya Qur’ani Tukufu katika kuongoza maisha ya Waislamu.
2011 Jan 28 , 17:40
Idara ya Hifdhi ya Qur'ani ya Kitengo cha Wanawake cha Taasisi ya Masuala ya Kheri ya Sheikh Id ya Qatar itaanza kutekeleza hivi karibuni ratiba mpya za masomo ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu.
2011 Jan 27 , 12:47
Kuarifisha utamaduni wa Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni moja kati ya majukumu ya vituo vya utamaduni vya Iran duniani kote.
2011 Jan 27 , 12:03
Muhammad Mahmoud, Mkuu wa Idara ya Tablighi na Muongozo wa Kiislamu ya Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Qatar amesema kuwa mashindano ya 18 ya kimataifa ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu yatafanyika nchini humo hivi karibuni.
2011 Jan 26 , 14:02
Kitengo cha utafiti wa Qur'ani kinapaswa kuwa kitengo kikuu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanachuo Waislamu.
2011 Jan 26 , 13:59
Mtaalamu wa Qur'ani kutoka Lebanon Hujjatul Islam Ali Muhammad Al Musalmani ameelezea matumaini yake kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafuatilia suala la kuanzishwa muungano wa kimataifa wa wanachuo wanaharakati wa Qur'ani.
2011 Jan 24 , 16:54
Msemaji wa Chuo Kikuu cha Manchester nchini Uingereza amesema kuwa chuo hicho kitaonyesha nakala nadra ya Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za mkono yapata miaka 500 iliyopita.
2011 Jan 23 , 10:11