Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo wa Kiislamu:
Wawakilishi wa Iraq, Iran na Misri katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu wametia fora katika usomaji wa kuvutia wa Quran na kuonyesha mchuano mkubwa unaotawala mashindano hayo.
2008 Nov 12 , 11:42
Kufanyika kwa mashindano ya Qur’ani ya wanachuo wa Kiislamu nchini Iran kuna umuhimu mkubwa na hata kunaweza kuwapelekea Mawahabi wa Saudi Arabia kubadili msimamo wao kuhusiana na Mashia.
2008 Nov 12 , 10:23
Sayyid Thamar ad-Deen Swamdaf, msomaji Qur’ani kutoka katika nchi ya Tajikistan ametoa pendekezo la kuongezwa uwanja wa kitaaluma wa ‘maana’ na ‘tafsiri’ katika nyanja za mashindano ya kimataifa ya wanachuo wa nchi za Kiislamu katika miaka ijayo.
2008 Nov 12 , 10:21
Duru ya tatu ya Mashindano ya kuhifadhi, kusoma na kutafsiri Quran yameanza Jumanne asubuhi katika makao ya kuhifadhi Quran katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2008 Nov 11 , 14:28
Wakuu wa vituo vya kuhifadhi Qur’ani na taasisi za uhubiri za nchi za Ghuba ya Uajemi jana Jumapili walitia saini hati ya ushirikiano waliyoipa jina la ‘taadhud’ katika kikao chao walichofanya huko Doha mji mkuu wa Qatar.
2008 Nov 11 , 13:40
Kituo cha kuhifadhi Qur’ani cha haram tukufu ya Imamu Hussein bin Ali AS kimefunguliwa katika sherehe zilizohudhuriwa na shakhsia wa kidini na kitamaduni wa Iraq katika mji mtakatifu wa Karbala.
2008 Nov 11 , 10:38
Duru ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu yalianza jana usiku mjini Tehran yakihudhuriwa na Mkuu wa Vyombo vya Sheria nchini Iran Ayatullah Mahmoud Shahrudi na Meya wa jiji la Tehran Dr. Muhammad Baqir Qalibaf.
2008 Nov 11 , 10:33
Taaisi ya Darul Quran Maryam (S) katika mkoa wa Jalalabad Kyrgyzstan inatoa mafunzo ya tajwid na kuhifadhi Quran Tukufu kwa wanawake wa eneo hilo.
2008 Nov 10 , 16:04
Nuskha moja ya Quran tukufu iliyochapishwa na kusambazwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Qatar imeshudhiwa ikiwa na makosa kadhaa ya chapa.
2008 Nov 09 , 11:39
Kama serikali za nchi za Kiislamu zingechukua hatua ya kubuni soko na baraza la kimataifa la Waislamu katika msimu wa hija na katika mazingira ya amani na utulivu yanayotawala katika msimu huu, ambapo umati mkubwa wa Waislamu huwa wamekusanyika sehemu moja na kwa wakati mmoja, umma wa Kiislamu haungeonekana kuwa dhaifu mbele ya madola makubwa yenye kiburi duniani
2008 Nov 08 , 16:42
Uwanja unaofaa wa kufanyika mazungumzo na kubadilishana mawazo kati ya wataalamu wa masuala ya Qur'ani unapaswa kuandaliwa katika awamu ya pili ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanachuo wa nchi za Kiislamu.
2008 Nov 08 , 12:26
Sheikh Abul Einein Sheisha, msomaji mashuhuri wa Qur'ani mzali wa wa Misri, ameteuliwa kuwa balozi wa usomaji Qur'ani katika ulimwengu wa Kiislamu kutokana na mahudhurio yake makubwa katika hafla na vikao mbalimbali vya Qur'ani.
2008 Nov 08 , 12:23
Ofisi ya haram ya Imam Ridha imetangaza kwamba Qurani hiyo inayonasibishwa kwa mjukuu huyo wa Mtume Muhammad SAW imeandikwa kwa herufi za Kikufi juu ya ngozi ya swala na ina kurasa 27.
2008 Nov 08 , 12:06