Taasisi ya Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu imetayarisha na kusambaza majmui ya CD za Qur'ani Tukufu iliyofasiriwa kwa lugha za Kiingereza na Kifarsi.
2008 Nov 18 , 10:45
Mwenyekiti wa Idara ya Masuala ya Vijana ya Qatar Khalid Yusuf al Mulla amesema kuwa kitengo cha wanawake kimeongezwa katika Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Quran na Hadithi ya vijana wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi.
2008 Nov 16 , 12:43
Duru ya tisa ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani nchini Yemen yalimazilika siku ya Ijumaa tarehe 24 Novemba.
2008 Nov 16 , 12:37
Kuandaliwa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya wanachuo Waislamu ni jambo la dharura kwa sababu jambo hili huwasaidia wanachuo kufahamu kwa kina maana halisi ya kitabu hicho kilichoteremka kwa wahyi.
2008 Nov 16 , 12:28
Mashindano ya Kimataifa ya Qura’ani Tukufu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu yalimalizika jana mjini Tehran kwa kutolewa taarifa ya mwisho.
2008 Nov 15 , 14:49
Duru ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu kutoka nchi 40 duniani ilihitimishwa jana kwa kiraa ya msomaji mashuhuri wa Misri Ahmad Nuaina ambaye alikuwa mgeni makhsusi wa mashindano hayo.
2008 Nov 15 , 14:44
Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu:
Msomaji Qur’ani wa Misri Junaid bin Adrus amesema kuwa sauti ya kuvutia ya sheikh Abul Einein Sheisha, Mkuu wa Jumuiya ya Wasomaji na Mahafidhi wa Qur’ani wa Misri ndiyo kigezo chake katika usomaji wa Qur’ani.
2008 Nov 15 , 14:41
Washiriki wa Mashindano ya Pili ya Kimatiafa ya Quran ya Wanachuo wa Kiislamu wamesema watabaki na kumbukumbu za kudumu kuhusu ustadi na hima ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuandaa mashindano hayo ya kimataifa ya Qurani ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
2008 Nov 15 , 13:49
Iran hivi sasa inaongoza katika shughuli za Qurani na kidini katika ulimwengu wa Kiislamu na wanawake na wanaume kwa pamoja wanashiriki kikamilifu katika kujifunza na kusoma Quran Tukufu, amesema Muhammad Wazir hafidhi wa Qurani kutoka Tanzania.
2008 Nov 15 , 13:40
Wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Afghanistan na Indonesia wameibuka washindi katika Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Vyuo Vikuu yaliyomalizika Ijumaa mjini Tehran.
2008 Nov 15 , 13:34
Sauti na lahani nzuri ya usomaji Qur’ani ni mwanzo wa kuwavutia watu wasiokuwa Waislamu na kuwafanya wakizingatie kitabu huki kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.
2008 Nov 13 , 09:21
Kuandaliwa kila mwaka mashindano ya Qur’ani Tukufu ya wanachuo wa Kiislamu kutaleleta muamko na mvuto maalumu katika mashindano hayo na hivyo kuyaimarisha zaidi.
2008 Nov 13 , 09:14
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo wa Kiislamu:
Wawakilishi wa Iraq, Iran na Misri katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu wametia fora katika usomaji wa kuvutia wa Quran na kuonyesha mchuano mkubwa unaotawala mashindano hayo.
2008 Nov 12 , 11:42