Ofisi ya haram ya Imam Ridha imetangaza kwamba Qurani hiyo inayonasibishwa kwa mjukuu huyo wa Mtume Muhammad SAW imeandikwa kwa herufi za Kikufi juu ya ngozi ya swala na ina kurasa 27.
2008 Nov 08 , 12:06
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na uzoefu mkubwa wa siku nyingi katika kutayarisha mashindano ya Kiislamu na ya Qurani suala ambalo limeifanya kuwa mwenyeji bora zaidi wa kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qurani ya wanachuo wa Kiislamu.
2008 Nov 02 , 13:57
Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuhifadhi Qurani katika eneo la mashariki mwa Saudi Arabia amesema kuwa akademia ya taaluma ya juu ya kuhifadhi na kusoma Qurani Tukufu itaanzishwa hivi karibuni katika mji wa Dammam mashariki mwa Saudi Arabia.
2008 Nov 02 , 13:56