Mafunzo ya muda ya maana ya aya za Qur'ani, misingi na mafundisho ya dini ya Kiislamu makhsusi kwa walinganiaji wa kike kutoka Marekani yataanza tarehe 14 mwezi huu wa Disemba nchini Imarati.
2008 Dec 08 , 10:45
Mashindano ya Qur’ani ya Afrika Kusini yanatarajiwa kuanza tarehe 15 hadi 21 za mwezi huu wa Disemba katika mji wa Cap Town. Mashindano hayo yatasimamiwa na Jumuiya ya Qur’ani ya Afrika Kusini.
2008 Dec 04 , 12:44
Madrasa moja ya Qur'ani huko nchini Kyrgyzstan katika kijiji cha “Alexandar Afka” iliyoandaa mafunzo ya sayansi za Qur'ani na maarifa ya Kiislamu imetambuliwa kama moja ya taasisi yenye harakati nyingi za Kiislamu katika mji mkuu wa nchi hiyo.
2008 Dec 03 , 11:16
Kongamano la kimataifa lililochunguza Mifumo ya Uandishi wa Elimu ya Kiraa za Qur'ani limefanyika katika Kitivo cha Fasihi na Elimu Jamii cha Chuo Kikuu cha Sultan Qabus mjini Mascut, Oman.
2008 Dec 03 , 10:40
Waislamu katika maeneo mbalimbali ya dunia hawaishi katika amani na utulivu na hitilafu zimeenea kati ya wafuasi wa makundi na madhehebu mbalimbali za Kiislamu suala ambalo linatokana na kujitenga kwao na Qur'ani Tukufu na mafundisho ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
2008 Dec 03 , 10:36
Serikali na taifa la Iran linatoa kipaumbele kikubwa kwa Qur’ani Tukufu na uzingatiaji huo wa kitabu cha Mwenyezi Mungu hauna kifani katika ulimwengu wa Kiislamu.
2008 Nov 25 , 10:43
Makala hii inatupia jicho mtazamo wa kitabu kitukufu cha Qur’ani kuhusiana na utamaduni wa kuwepo mijadala ya hoja na mazungumzo ya kutafuta haki na ukweli kati ya makundi mbalimbali. Inaweka wazi mtazamo wa Qurani kuhusiana na suala la mazungumzo kati ya dini na makundi mbalimbali yenye itikadi, mitazamo na hata misimamo tofauti.
2008 Nov 24 , 16:17
Mpango wa kusambaza nakala za Qur’ani Tukufu katika maeneo ya vijijini ya Saudi Arabia na Yamen umeanza kutekelezwa na kundi la vijana wa Kisaudi.
2008 Nov 23 , 11:01
Duru ya 21 ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani na Hadithi kwa vijana wa nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi yalianza jana Ijumaa huko Doha, mji mkuu wa Qatar.
2008 Nov 23 , 08:46
Mashindano ya kitaifa ya kila mwaka ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Takatifu kwa wanafunzi wa shule zote za msingi za Saudi Arabia yatafanyika nchini humo kuanzia tarehe 7 Jumatano hadi tarehe 11 Jumapili mwezi Januari mwakani.
2008 Nov 23 , 08:44
Msikiti na Chuo cha Sayansi ya Qur’ani cha al Saleh vilifunguliwa jana katika mji mkuu wa Yemen Sanaa. Sherehe za ufunguzi wa msikiti na chuo hicho zimehudhuriwa na Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye pia ni Mkuu wa Jumuiya ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu Mahdi Mustafawi na shakhsia wengine kadhaa wa ulimwengu wa Kiislamu.
2008 Nov 22 , 12:36
Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani Tukufu ya vituo vya kuhifadhisha Qur’ani katika Umoja wa Falme za Kiarabu yamenza katika mji wa Sharja. Mashindano hayo yanasimamiwa na Taasisi ya Qur’ani na Suna za Mtume SAW ya Sharja.
2008 Nov 20 , 12:57
Taasisi ya Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu imetayarisha na kusambaza majmui ya CD za Qur'ani Tukufu iliyofasiriwa kwa lugha za Kiingereza na Kifarsi.
2008 Nov 18 , 10:45