Matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu na Waislamu yatatatuliwa kwa kushikamana barabara na Qur’ani, na kitabu hicho ndiyo chanzo halisi cha utukufu na hadhi ya umma wa Kiislamu.
2008 Dec 21 , 12:34
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaongoza duniani katika kuandaa mashindano ya Kiislamu na Qur'ani duniani.
2008 Dec 21 , 12:31
Mkutano wa kimataifa wa Muujiza wa Qur’ani na Suna za Mtume Muhammad (saw) unatarajiwa kuanza tarehe 23 Disemba katika mji wa Dammam ulioko mashariki mwa Saudi Arabia.
2008 Dec 21 , 12:14
Kikao cha "Mazungumzo ya Kiqur'ani, Msingi wa Mazungumzo" kinafunguliwa leo katika ukumbi wa mikutano wa mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.
2008 Dec 20 , 11:11
Taasisi ya Uhakiki wa Kiislamu ya Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri imepaisha uchapishaji wa tafsiri ya kwanza ya Qur'ani iliyoandikwa na mwanamke.
2008 Dec 20 , 11:10
Wabunge wa Kuwait wamekosoa hatua ya Wizara ya Waqfu ya nchi hiyo ya kugawa nakala za Qur'ani zilizojaa makosa ya uchapishaji.
2008 Dec 18 , 13:03
Viongozi wa Libya wameanza kuchunguza rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo kwa lengo la kuweka kando Qur’ani Tukufu na kutoitambua tena kama chanzo kikuu cha sheria za nchi na badala yake kutunga sheria zinazooana na demokrasia ya Kimagharibi.
2008 Dec 18 , 11:42
Msahafu Mtukufu wa Nur utaonyeshwa sambamba na sherehe za kuadhimisha sikukuu ya Ghadir tarehe 18 Mfunguo tatu Dhilhija.
2008 Dec 16 , 17:23
Hivi sasa tumo katika kipindi cha kuadhimisha sikukuu ya Ghadir Khum, siku ambayo kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika ndiyo “Idi kubwa zaidi ya Mwenyezi Mungu”. Ni siku ya kukamilishwa dini na neema ya Mola Mlezi.
2008 Dec 16 , 09:48
Wanafunzi wa madrasa ya Badr katika mji mkuu wa Kyrgyzstan, Bishkek wanajifunza Qur’ani kwa kutumia mbinu saba tofauti za kiraa.
2008 Dec 14 , 11:41
Mwenyekiti wa chama cha Uhuru cha Uholanzi na mbunge mwenye misimamo ya kufurutu mipaka wa nchi hiyo Geert Wilders amesema kuwa filamu ya Fitna inayokivunjia heshima kitabu cha Qur'ani na matukufu ya Kiislamu itaonyeshwa katika nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa na katika utawala ghasibu wa Israel.
2008 Dec 10 , 12:55
Mtoto mdogo anayeyashika maziwa au matiti ya mama yake kwa mikono yake, hunyonya matiti hayo kwa lengo la kupata maziwa. Bila shaka huwa anataka maziwa, na anapokichukua kitu chochte kwa mikono yake kwa lengo la kukila basi bila shaka atakielekeza katika mdomo wake.
2008 Dec 08 , 16:42
Mafunzo ya muda ya maana ya aya za Qur'ani, misingi na mafundisho ya dini ya Kiislamu makhsusi kwa walinganiaji wa kike kutoka Marekani yataanza tarehe 14 mwezi huu wa Disemba nchini Imarati.
2008 Dec 08 , 10:45