Jumuiya ya Vipofu Bangladesh imetunukiwa nuskha kadhaa za Qur'ani Tukufu kwa hati za Braille.
2009 Jan 12 , 13:55
Mashindano ya 23 ya Qur'ani Tukufu ya Nigeria yanaanza leo Alkhamisi katika jimbo la Bauchi.
2009 Jan 08 , 11:41
Kituo cha kwanza cha mafunzo ya Qur'ani Tukufu na lugha ya Kiarabu kwa wale wasiozungmza Kiarabu waishio Kuwait kimefunguliwa katika msikiti mkuu wa Kuwait.
2009 Jan 04 , 10:26
Kongamano la wataalamu wa masuala ya Qur'ani wa Kituo cha Uratibu, Ustawi na Uenezaji wa Shughuli za Qur'ani nchini Iran litaanza Ijumaa mjini Tehran.
2009 Jan 01 , 10:57
Vyuo vya mafunzo ya Qur'ani nchini Iran vimetangaza wazi uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina na hasa wa Ukanda wa Gaza wanaodhulumiwa na utawala ghasibu wa Israel na kusisitiza kwamba viko tayari kutekeleza amri ya Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika kuwatetea wananchi hao wanaoteseka na kukandamizwa na Wazayuni.
2008 Dec 31 , 08:23
Muungano wa Jumuiya za Masuala ya Qur'ani Tukufu nchini Iran umetoa salamu za rambirambi kwa wananchi wanaokandamizwa wa Ukanda wa Gaza na umeahidi kutumia ushawishi wake kutuma misaada ya kibinadamu kwa wakazi wa Gaza.
2008 Dec 30 , 10:15
Kituo kipya cha Qur'ani - "Darul Qur'an" - kimefunguliwa huko Bishkek, mji mkuu wa Kyrgyzstan.
2008 Dec 28 , 11:17
Kila siku ninasoma Qur'ani na ninauheshimu Uislamu na Waislamu. Wakristo wanadhani kwamba Waislamu wanawafanyia uhasa ilhali katika Qur'ani hakuna hata neno moja linalouvunjia heshima Ukristo na kitabu hicho kinalitaja kwa heshima kamili jina la Mtukufu Masiya.
2008 Dec 25 , 12:39
Kituo cha nuskha za Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za Imam Ali bin Abi Twalib (as) na nakala za vitabu vingine vya Kiislamu kimefunguliwa katika mji mtakatifu wa Najaf nchini Iraq.
2008 Dec 24 , 12:11
Taasisi ya Uchapishaji Quran ya Mfalme Fahd nchini Saudi Arabia imechapisha zaidi ya nuskha milioni 216 za Qur'ani, vitabu vingine na programu za kompyuta za Qur'ani kwa lugha 34 duniani tokea ilipozinduliwa mwaka 1984 hadi mwezi Novemba mwaka 2008 .
2008 Dec 24 , 11:30
Kitabu cha “Qur’ani Nchini Russia” kilichoandikwa na Arif Aliov kimechapishwa mjini Moscow kwa lugha ya Kirussia.
2008 Dec 23 , 10:51
Shirika la Habari za Quran la Kimataifa IQNA limezindua rasmi huduma za habari kwa lugha ya Kiswahili. Shirika hilo lenye makao yake mjini Tehran Iran, limezindua ukurasa wake wa intaneti kwa lugha ya Kiswahili katika sherehe iliyohudhuriwa na maafisa waandamizi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al Mustafa na wawakilishi wa Jihadi ya Vyuo Vikuu.
2008 Dec 22 , 18:36
Matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu na Waislamu yatatatuliwa kwa kushikamana barabara na Qur’ani, na kitabu hicho ndiyo chanzo halisi cha utukufu na hadhi ya umma wa Kiislamu.
2008 Dec 21 , 12:34