Kitabu cha "Qur'ani, Kitabu Kisicho na Nakisi" kimechapishwa nchini India kwa lugha ya Telugu.
2009 Jan 25 , 11:11
Mpango wa taifa wa kuhitimisha kisomo cha Qur'ani katika vitengo 14 vya vyuo vikuu nchini Iran utatekelezwa tarehe 3 Februari sambamba na kuanza sherehe za Waljari 10 za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
2009 Jan 25 , 10:57
Jamii ya Qur'ani nchini Iran Jumamosi ya leo itatangaza tena utiifu wake kwa thamani za muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hayati Imam Khomeini sambana na kutimia mwaka wa 30 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
2009 Jan 24 , 08:16
Gazeti la Maariv la Israel limeandika kuwa kitendo cha askari wa utawala huo cha kushambulia miskiti na kuchoma moto makala za Qur'ani ni kilele cha kuporomoka kiimadili utawala wa Israel.
2009 Jan 22 , 12:49
Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Rufaa ya Amsterdam Uholanzi, Geert Wilders, mtayarishaji wa filamu ya Fitna inayokivunjia heshima kitabu kitukufu cha Qur'ani ambaye pia ni mwakilishi katika bunge la nchi hiyo atafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
2009 Jan 22 , 12:31
Iwapo kila Muislamu atamfunza Qur'ani mtu mmoja asiyekuwa Muislamu kila mwaka na kumpa nakala ya Qur'ani atawafunza karibu watu 60 kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu katika kipindi cha maisha yake.
2009 Jan 19 , 16:15
Chombo kipya cha Qur'ani ya dijitali kilichopewa jina la al Muyassar kimeingia masokoni. Chombo hicho kimetengenezwa na kampuni ya ENMAC ya China.
2009 Jan 18 , 12:18
Waziri wa Masuala ya Kidini wa Pakistan amepiga marufuku utumiaji wa karatasi za daraja ya chini kwa ajili ya kuchapisha nakala za Qur'ani Tukufu.
2009 Jan 18 , 12:16
Mashindano ya 16 ya kuhifadhi Qur'ani na hadithi za Mtume Muhammad (saw) ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Saudi Arabia yanafanyika katika Chuo Kikuu cha Imam Muhammad bin Saud katika mji wa Riyadh.
2009 Jan 17 , 15:55
Sherehe za kuwazawadia wanawake waliofuzu katika mashindano ya kwanza ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu maaulumu kwa wanawake nchini Kuwait zilifanyika jana katika mji wa Qadisiya nchini humo.
2009 Jan 15 , 10:12
Wafasiri wakubwa zaidi wa Qur'ani katika historia ya Kiislamu walikuwa Wairani na kwa sababu hiyo ufahamu wa Qura'ni wa Wairani umekuwa mkubwa zaidi wakilinganishwa na watu wa mataifa mengine.
2009 Jan 14 , 14:02
Wasomaji na mahafidhi wa Qur'ani wa kike wa Kuwait wamekutana katika kituo cha Qur'ani cha Abdulatif al Umar kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wanaokandamizwa wa Ukanda wa Gaza.
2009 Jan 13 , 10:41
Jumuiya ya Vipofu Bangladesh imetunukiwa nuskha kadhaa za Qur'ani Tukufu kwa hati za Braille.
2009 Jan 12 , 13:55