Nakala ya Qurani ya pili kwa kuwa na umbo dogo zaidi duniani ambayo ina umri wa miaka 117 inahifadhiwa katika mji wa San'aa huko Yemen.
2009 Feb 08 , 10:06
Katibu wa duru ya 16 ya zawadi ya kila mwaka ya kitabu bora duniani amesema vitabu kuhusu utafiti wa Qur'ani Tukufu vimetia fora zaidi kutokana na kuwasilishwa athari za hali ya juu.
2009 Feb 05 , 11:05
Tarjuma ya Qur'ani iliyoandikwa kwa mkono katika karne ya 13 imekabidhiwa kwa Maktaba ya Astan Quds Razawi ya Mash'had nchini Iran.
2009 Feb 05 , 10:49
Mtandao wa intaneti wa “Qur'ani na Hadith” umeanzishwa mjini Lahore, Pakistan kwa lugha ya Kiurdu kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Kidini cha “Jamiatul Ashrafiya”.
2009 Feb 04 , 09:57
Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani cha Jumuiya ya Misaada ya Jeddah nchini Saudi Arabia kimezindua ukurasa wa intaneti kwa lengo la kutoa maelezo na kufanya utafiti wa Qur'ani.
2009 Feb 01 , 12:16
Kitabu cha Tafakuri Katika Kitabu cha Mwenyezi Mungu kinachojadili mitazamo mbalimbali ya miujiza ya kisayansi katika Qur'ani Tukufu kimechapishwa kwa jitihada za shirika la kuchapisha vitabu la Dar al-Misriya al-Lubnaniya mjini Cairo.
2009 Feb 01 , 11:30
Tamasha ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanawake wa Qatar imeanza siku ya Jumatano katika kituo cha Qur'ani cha "Jumba la Makumbusho la Bint Muhammad" mjini Doha.
2009 Jan 29 , 11:33
Msimamizi wa Idara ya Masomo na Mashindano ya Taasisi ya Wakfu na Masuala ya Kheri ya Iran amesema kuwa mashindano ya kitaifa ya kufafanua maana ya Qur'ani Tukufu yatafanyika katika mikoa yote nchini humo tarehe 5 Februari sambamba na sherere za kuadhimisha miaka 30 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
2009 Jan 28 , 11:57
Duru ya kwanza ya mashindano ya kumi ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani Tukufu ya Dubai imeanza katika jumba la michezo ya kuigiza la Wizara ya Elimu ya Imarati.
2009 Jan 28 , 11:51
Kikao cha kitaalamu cha wasomaji wakongwe na wale wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu kinafanyika hii leo mjini Tehran. Kikao hicho kitahudhuriwa na Ustadh Farajullah Shadhili, Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasomaji wa Qur'ani ya Misri.
2009 Jan 28 , 11:46
Mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa vijana nchini Bangladesh yalinza Jumatatu ya jana katika mji mkuu wa nchi hiyo Dhaka.
2009 Jan 27 , 15:31
Warsha ya mafunzo ya uendeshaji wa vituo vya kuhifadhisha Qur'ani imefanyika Abu Dhabi katika Umoja wa Falme wa Kiarabu ikihudhuriwa na wakurugenzi na wasimamizi wa vituo vya Qur'ani nchini humo.
2009 Jan 25 , 11:35
Kitabu cha "Qur'ani, Kitabu Kisicho na Nakisi" kimechapishwa nchini India kwa lugha ya Telugu.
2009 Jan 25 , 11:11