Maonyesho ya filamu ya iyayokivunjia heshima kitabu kitukufu cha Qur’ani ya Fitna katika Congresi ya Marekani yamekabiliwa na malalamiko makali ya Waislamu nchini humo.
2009 Mar 01 , 10:54
Tarjumi mpya ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kiurdu imechapishwa nchini Pakistan. Tarjumi hiyo imeandikwa na Mufti Taqi Uthmani ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wa taasisi ya Darul Ulum yenye makao yake mjini Karachi.
2009 Feb 28 , 10:27
Mashindano ya kitaifa ya Qur’ani yanayosimamiwa na Jumuiya ya Waqfu na Masuala ya Kheri yalianza jana katika mji wa Bushehr kusini mwa Iran.
2009 Feb 28 , 10:18
Kukariri na kushikilia maasi hudhoofisha imani ya mja ya kuharibu kabisa itikadi zake.
2009 Feb 26 , 10:38
Seneta mmoja wa Marekani amemwalika mtengenezaji filamu ya Fitna inayokitusi na kukivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani kuonyesha filamu hiyo katika Bunge la Marekani.
2009 Feb 25 , 13:55
Kufariki dunia Mtume Muhammad (saw) lilikuwa tukio kubwa duniani ambalo lilipelekea kukatika uhusiano kati ya wahyi na dunia. Tukio hilo la kusikitisha ni miongoni mwamatukio machungu zaidi na yenye hasara kubwa kwa mwanadamu
2009 Feb 25 , 13:54
Naibu Mwenyekiti wa Kitengo cha Utamaduni na Malezi cha Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Jamiatul Mustafa nchini Iran ametoa wito kwa vyombo vya habari kuakisi ipasavyo mashindano ya kila baada ya miaka minne (olimpiadi) ya kimataifa ya Qur'ani na Hadithi akisisitiza kuwa mashindano hayo yanapaswa kupewa umuhimu katika vyombo vya habari.
2009 Feb 24 , 14:15
Qur'ani Tukufu ni kitabu kitakatifu cha Waislamu ambacho kinahusu maisha yote ya mwanadamu ukiwemo upande wa tiba ya magonjwa mbalimbali.
2009 Feb 23 , 13:58
Qur'ani tukufu ni muujiza unaothitisha Utume wa Nabii Muhammad (saw) wakati mtukufu huyo mwenyewe ni ushahidi unaothibitisha kwamba Qur'ani Tukufu ni maneno ya haki na kweli kutoka kwa Mwenyezi Mungu (sw).
2009 Feb 23 , 09:52
Mkuu wa Jopo la Majaji katika duru ya 31 ya mashindano ya kitaifa ya Iran ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanawake amesema kiburi na majivuno ni tatizo kubwa kwa wanaojifunza Qur'ani.
2009 Feb 22 , 19:38
Suala la kuzawadia wagonjwa viungo vya mwili halijaashiriwa kwa njia ya wazi Katika Qur'ani Tukufu na hadithi za Watu wa Nyumba ya Mtume au Ahlul Bayt (as) .
2009 Feb 22 , 19:26
Nakala ya kale zaidi duniani ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa hati za mkono imesajiliwa kama turathi ya kitaifa nchini China.
2009 Feb 19 , 14:43
Kamusi kubwa zaidi ya Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la "Kamusi ya Qur'ani" imetarjumiwa kwa lugha ya Kiingereza mjini London. Kamusi hiyo imetarjumiwa kwa ushirikiano wa Chuo cha Kiislamu cha London.
2009 Feb 18 , 11:36