Mkutano wa "Umoja katika Mtazamo wa Qur'ani na Suna" unatazamiwa kufanyika tarehe 12 Machi katika kituo cha Qur'ani mjini Tehran.
2009 Mar 09 , 16:43
Mashindano ya awali ya kimataifa ya kusoma Qur'ani na hadithi ya olimpiadi ya 14 yanayosimamiwa na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Mustafa yalianza jana Jumatano katika mji wa Qum nchini Iran.
2009 Mar 05 , 21:05
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa ofisi ya Waziri Mkuu wa Algeria amesema kuwa kanali ya televisheni ya Qur'ani kwa lugha ya Tamazight itafunguliwa mwezi ujao.
2009 Mar 04 , 18:11
Duru ya nne ya mashindano ya kasida, kuhifadhi na kusoma Qur'ani yalianza jana mjini Rabat.
2009 Mar 04 , 17:12
Mwendesha baiskeli anayeeneza utamaduni wa Qur'ani Tukufu mkaazi wa Tehran, mji mkuu wa Iran ambaye amebeba ujumbe unaosema, 'Tutafute Njia Sahihi ya Maisha kwenye Qur'ani', amewasili mjini Shiraz baada ya kupita katika mikoa 11.
2009 Mar 04 , 12:50
Naibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya al-Mustafa anayeshuighulikia masuala ya kiutamaduni amezungumzia kukaribishwa kwa ratiba za masuala ya Qur'ani za jumuiya hiyo na familia pamoja na watoto wa wanafunzi wa msomo ya kidini nchini Syria.
2009 Mar 03 , 22:18
Mashindano ya kusoma Qur'ani na hadithi za Mtume Muhammad (saw) yamepangwa kufanyika tarehe tano mwezi huu wa Machi nhini Oman.
2009 Mar 02 , 11:00
Dini tukufu ya Kiislamu imewausia Waislamu kula baadhi ya vyakula na vinywaji na kuzingatia mfumo maalumu wa kula kupitia mafundisho ya Qur'ani. Wakati huohuo, imewataka Waislamu kujiepusha kabisa na baadhi ya vyakula na vinywaji vyenye madhara kwao.
2009 Mar 02 , 10:58
Hamid Ridha Mir Sanei, mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa nchini Afghanistan amesema kuwa jumuiya hiyo imeweka wanafunzi wa Qur'ani wapatao 10,000 nchini Afghanistan chini ya ratiba zake za masomo.
2009 Mar 02 , 10:43
Kitabu chenye anwani ya 'Maudhui za Qur'ani' kimechapishwa kwa lugha ya Kirusi kwa udhamini wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow.
2009 Mar 02 , 10:36
Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani kwa wanafunzi wa Qatar yameanza nchini humo leo Jumapili chini ya usimamizi wa Wizara ya Elimu ya Juu ya nchi hiyo. Mashindano hayo yanafanyika katika makundi mawili ya wanawake na wanaume.
2009 Mar 01 , 10:59
Ijumaa iliyopita, maelfu ya wananchi wa Afghanistan walifanya maandamano makubwa wakilalamikia kitendo cha askari wa Marekani walioko nchini humo dhidi ya kitabu chao kitakatifu, Qur'ani Tukufu.
2009 Mar 01 , 10:56
Maonyesho ya filamu ya iyayokivunjia heshima kitabu kitukufu cha Qur’ani ya Fitna katika Congresi ya Marekani yamekabiliwa na malalamiko makali ya Waislamu nchini humo.
2009 Mar 01 , 10:54