Msomaji mmoja wa kimataifa wa Qur'ani Tukufua amesifu usomaji wa marehemu Mustafa Ismail na kusema kuwa lahani zake tofauti katika usomaji wa kitabu hicho kitakatifu zinaonyesha wazi umahiri na ustadi mkubwa aliokuwa nao katika usomaji wa Qur'ani.
2009 Mar 26 , 20:26
Spika wa Bunge la Lebanon amesema kuwa nguvu ya Waislamu inaimarika zaidi kwa kulinda umoja na mshikamano wa Kiislamu na kusisitiza kuwa Qur'ani Tukufu pia imesisitiza juu ya umoja wa dini zote za Mwenyezi Mungu.
2009 Mar 26 , 17:07
Wahifadhi Qur'ani wa Kiirani wanahifadhi hata nambari za aya, idadi ya aya za sura husika, ukurasa na mambo mengineyo, suala ambalo limewashangaza watu wengi.
2009 Mar 19 , 11:09
Idi ya Noruouz ambao ni mwanzo wa kutembeleana jamaa ni jambo zuri linaloungwa mkono na Uislamu, na ambalo limesisitizwa na kitabu kitakatifu cha Qur'ani ambacho kinasisitiza kuimarisha mifungamano ya kifamilia na jamaa wa karibu.
2009 Mar 19 , 11:07
Atlasi ya Qur'ani Tukufu ambayo imeandaliwa na Dakta Shauqi Abu al-Khalil ikiwa na kurasa 240 imechapishwa kwa njia ya kuvutia sana.
2009 Mar 19 , 10:58
Msomaji wa Qur'ani raia wa Tanzania aliyeshiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani na hadithi yaliyoandaliwa hivi karibuni na Jamuiya ya Kimataifa ya al-Mustafa (saw) amesisitiza kwamba mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamepelekea Wasuni na wananchi wa nchi nyinginezo duniani kubadili msimamo na mtazamo wao kuhusiana na Iran na Waislamu wa madhehebu ya Shia.
2009 Mar 19 , 10:11
Mmoja wa wahifadhi mashuhuri wa Qur'ani wa nchini Iran ameashiria kipawa kikubwa cha usomaji Qur'ani alichokuwa nacho marehemu Mustafa Ismail wa Misri na kusema kuwa alikuwa nyota ya usomaji wa kitabu hicho kitakatifu miongoni mwa wasomaji walioishi katika zama zake.
2009 Mar 18 , 14:30
Maonyesho ya kaligrafia ya Qur'ani Tukufu (sanaa ya kuandika vizuri aya za Qur'ani) yanatazamiwa kufanyika kesho tarehe 18 Machi katika mji wa Peterborough nchini Uingereza.
2009 Mar 17 , 18:25
Huku akiashiria usomaji Qur'ani wa Mustafa Ismail, mmoja wa wasomaji wa kimataifa wa Qur'ani wa Iran amesema kuwa, usomaji Qur'ani wa marehemu Mustafa Ismail uko katika kilele cha juu zaidi cha usomaji wa kitabu hicho kitakatifu na kwamba, hata wale wasomaji mashuhuri wanaomuiga msomaji huyo mashuhuri wa Misri wangali nyuma sana wakilingalishwa naye katika usomaji.
2009 Mar 17 , 14:46
Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani yamefanyika mjini Acra nchini Ghana yakisimamiwa na Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Acra.
2009 Mar 16 , 16:38
Wiki ya Qur'ani Tukufu na kutukuzwa Ahlul Bait (as) ilianza nchini Karachi siku ya Jumatano kwa kuhudhuriwa na wasomaji wawili mashuhuri wa Qur'ani kutoka katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2009 Mar 12 , 13:55
Kikao cha sita cha utafiti wa Qur'ani ambacho hufanyika mara moja kila baada ya miaka miwili, ambacho mara hii kitafanyika chini ya anwani ya 'Qur'ani, Matini, Historia na Utamaduni' kimepangwa kufanyika tarehe 12 hadi 14 Mwezi Novemba, katika Kitengo cha Utafiti wa Mashariki na Afrika cha Chuo Kikuu cha London.
2009 Mar 10 , 16:03
Mkutano wa "Umoja katika Mtazamo wa Qur'ani na Suna" unatazamiwa kufanyika tarehe 12 Machi katika kituo cha Qur'ani mjini Tehran.
2009 Mar 09 , 16:43