Mjumuiko wa CD za visomo vya maqari mashuhuri wa ulimwengu wa Kiislamu umekusanywa katika benki ya sauti na taswira katika Haram Takatifu la Abdul Adhim al Hassani (as) kusini mwa jiji la Tehran.
2009 Apr 26 , 09:43
Kipindi cha “ Njia ya Mola Mmoja” kinatazamiwa kuonyeshwa katika kanali ya televisheni ya Qur’an na mafundisho ya Kiislamu nchini Iran.
2009 Apr 26 , 09:33
Kikao cha kimataifa cha Mbinu za Tafsiri ya Qur'ani kilichohudhuriwa na wasomi na wataalamu kutoka nchi Misri, Syria na Algeria kimemaliza kazi zake katika mkoa wa Um al Bawaqi huko Algeria.
2009 Apr 25 , 15:38
Jumuiya ya Masuala ya Kheri na Kuhifadhisha Qur'ani nchini Saudi Arabia imebuni mbinu mpya ya kufunza Qur'ani iliyopewa jina la "msomaji elektroniki ".
2009 Apr 23 , 17:27
Jumuiya ya Masuala ya Kheri ya Kuhifadhisha Qur'ani nchini Saudi Arabia kwa mara ya kwanza imebuni mbinu mpya ya kutoa mafunzo ya Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la Msomaji Elektroniki.
2009 Apr 22 , 11:21
Kituo kipya cha Qur'ani Tukufu kimefunguliwa katika mkoa wa Aqaba nchini Jordan ikiwa ni katika jitihada za kueneza zaidi utamaduni wa Qur'ani.
2009 Apr 21 , 15:00
Kitabu cha Qur'ani Tukufu ndio makimbilio bora zaidi katika dunia ya leo iliyojaa machafuko, ufisadi na matatizo ya kimadaa na kimaanawi yaliyozidishwa na mgogoro wa kiuchumi unaotawala kwa sasa.
2009 Apr 19 , 13:05
Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Maldives imeunda kamati itakayokuwa na jukumu la kusahihisha makosa ya tarjumi za Qur'ani Tukufu.
2009 Apr 18 , 12:11
Nakala pekee ya Qur'ani inayonasibishwa kwa Imam Hassan bin Ali bin Abi Twalib inahifadhiwa katika jumba la makumbusho ya Qur'ani la haram ya Imam Ridha (as) katika mji mtakatifu wa Mash'had kaskazini mwa Iran.
2009 Apr 16 , 22:52
Jumuiya ya Darul Qur'ani ya Iran imeanzisha mafunzo ya muda ya majaji wa mashindnao ya Qur'ani ili majaji wote watumie mbinu moja kutathmini usomaji wa washindani na kuzuia utumiaji wa maamuzi ya mtu binafsi katika kutoa hukumu za mashindano hayo.
2009 Apr 16 , 12:28
Qur'ani tukufu imearifisha njia kadhaa za kuzuia na kutibu mfadhaiko na shinikizo maishani na kusisitiza kuwa njia bora zaidi kati ya hizo ni kuwa na imani.
2009 Apr 16 , 12:06
Majlisi ya kisomo cha Qur'ani Tukufu ya wasomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Iran imepangwa kufanyika katika haram ya Abdul Adhim al Hassani katika viunga vya jiji la Tehran.
2009 Apr 15 , 12:02
Awamu ya kwanza ya mashindano ya taifa ya kuhifadhi Qur'ani katika Umoja wa Falme wa Kiarabu ilimalizika jana.
2009 Apr 14 , 15:09