Msomaji mmoja mashuhuri wa Qur'ani nchini Iran anaamini kwamba mazoezi ya kudumu ya usomaji wa kitabu hicho humfanya msomaji kuwa na kipawa cha na uwezo wa kudhibiti usomaji wa kitabu hicho kitakatifu.
2009 May 10 , 09:39
Mashindano ya Qur'ani kwa wanawake wa Imarati ambayo yamefanyika chini ya anwani ya Zawadi ya Hamida bint Muhammad bin Khalifa yalianza siku ya Ijumaa huko katika Kituo cha Kidini na Utamaduni cha Muhammad bin Khalid Aal Nahyan katika mji wa Abu Dhabi, ambao ni mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Wanawake 57 wa Imarati waliohifadhi Qur'ani wanashiriki katika mashindano hayo.
2009 May 09 , 12:28
Sherehe za kushukuriwa na kutunukiwa zawadi washindi wa kusoma na kuhifadhi Qur'ani katika duru ya kumi ya mashindano hayo ya kimataifa yaliyomalizika hivi karibuni nchini Bahrain chini ya anwani Dhikrul Hakim zilifanyika siku ya Alkhamisi katika mji mkuu wa nchi hiyo Manama.
2009 May 09 , 12:26
Waliofuzu katika mashindano ya kumi na mbili ya Quran Tukufu ya ‘Hayati Mohammad Abdulmohsen al Kharafi’ wamezawadiwa katika sherehe zilizohudhuriwa na Jasim Al Kharafi, mbunge wa zamani wa Kuwait.
2009 May 09 , 11:10
Duru ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya Quran kwa ajili ya wanachuo imeanza tarehe 6 Mei huko Umoja wa Falme za Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Sharjah.
2009 May 09 , 11:09
Kongamano la Usahihi wa Kitabu cha Qur'ani linatazamiwa kufanyika nchini Uturuki tarehe 9 na 10 mwezi huu wa Mei.
2009 May 07 , 12:09
Maqari maarufu wa Iran watashiriki katika vikao vya kusoma Qur'ani Tukufu katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu ya Tehran.
2009 May 07 , 11:50
Ensaiklopidia ya maeneo ya Qur'ani Tukufu ambayo imetayarishwa na Muhammad Hassan Arab imeanza kuuzwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran.
2009 May 06 , 11:44
Mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Amir Salman bin Abdul Aziz yalianza siku ya Jumatatu huko Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia.
2009 May 06 , 09:38
Qari mmoja wa kimataifa kutoka Iran amesema anaamini kuwa mazoezi na hima ni misingi miwili muhimu ambayo maqari wanaoanza kujifunza kuisoma Qur'ani Tukufu wanapaswa kuizingatia.
2009 May 06 , 09:33
Mashindano ya kumi na moja ya taifa ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu ya Saudi Arabia yalianza jana katika mji wa Riyadh. Mashindano hayo yataendela kwa kipindi cha siku tatu.
2009 May 05 , 17:23
Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu ambayo yameandaliwa na Jumuiya ya Maqari wa Thailand yatafanyika tarehe 7-8 Mei katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangkok.
2009 May 05 , 17:20
Mpango wa Kusoma Qur'ani Tukufu katika mtandao wa intaneti wa Kituo cha Mafunzo ya Kiislamu mjini Washington Marekani umewavutia wengi.
2009 May 04 , 08:49