Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Jumamosi Julai 25, 2009 ameonana na washiriki wa mashindano ya 26 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu na kusisitiza kuhusu haja ya Waislamu kujipamba kwa vitendo vyema na kutekeleza ipasavyo mafundisho ya Kitabu hicho Kitakatifu.
2009 Jul 26 , 05:59
Mashindano ya 26 ya kimataifa ya Qur'ani yatanaaza kesho mjini Tehran yakiwashirikisha washindani kutoka nchi 52. Mashindano hayo yataanza sambamba na maadhimisho ya siku ya kubaadhiwa Mtume Muhammad (saw).
2009 Jul 18 , 19:10
Mkutano wa siku tatu uliojadili taathira za Qur'ani Tukufu katika maendeleo ya mwanadamu na jamii za Kiislamu ulimaliza shughuli zake jana katika mji wa Lagos nchini Nigeria.
2009 Jul 04 , 15:30
Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Na Marekani CAIR limepanga kumtunuku Rais Barack obama wa Marekani nakala ya Qur'ani iliyofasiriwa kwa lugha ya Kiingereza.
2009 Jul 04 , 15:29
Majid bin Muhammad bin Rashid Aal Maktum, Mkuu wa Jumuiya ya Utamaduni na Sanaa ya Dubai jana Jumatano alifungua maonyesho ya kimataifa ya kaligrafia ya aya za Qur'ani mjini humo.
2009 May 21 , 11:54
Meya wa mji wa Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu ametangaza habari ya kutengenezwa bustani ya Qur'ani Tukufu katika eneo la al-Khawanij katika mji wa Dubai.
2009 May 20 , 15:52
Sulban Khasimikof, katibu wa vyombo vya habari wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa China ametangaza habari ya kuanza masomo ya usomaji Qur'ani kwa vipofu wa nchi hiyo, hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwa jambo hilo kutekelezwa nchini humo.
2009 May 20 , 15:51
Tovuti ya habari ya Tebyan imeandaa khitma ya Quran Tukufu kupitia intaneti kufuatia kuaga dunia Ayatullahil Udhma Bahjat.
2009 May 20 , 13:42
Kufuatia kuaga dunia Ayatullahil Udhma Bahjat Khitma itafanyika huko Lusaka Zambia tarehe 21 Mei katika Msikiti wa Imam Redha (AS).
2009 May 20 , 13:41
Mashindano ya Quran kwa ajili ya wanachuo katika bweni la Chuo Kikuu cha Tehran yameanza tarehe 17 Mei na yataendelea kwa siku tatu.
2009 May 19 , 11:07
Tovuti ya 'Kituo cha Utaalamu wa Tiba na Quran Tukufu' kimechapisha makala mpya zinazohusiana na masuala ya tiba kwa mujibu wa mafunzo ya Quran.
2009 May 19 , 11:07
Ikiwa ni katika kueneza utamaduni wa neno la wahyi, idadi kubwa ya nakala za Quran Tukufu zimesambazwa katika nchi kadhaa za kusini-mashariki mwa Asia kwa himaya ya Jumuiya ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran.
2009 May 19 , 11:06
Wiki ya kuadhimisha Qur'ani Tukufu ilianza kutekelezwa siku ya Jumapili katika miji tofauti ya Palestina. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Taasisi ya al-Furqan ya nchi hiyo.
2009 May 19 , 11:01