Maafisa wanaosimamia mashindano ya 14 ya kimataifa ya Qur’ani ya Dubai wametangaza ratiba ya masuala ya kiutamaduni yatakayoandamana na mashindano hayo.
2010 Aug 07 , 11:19
Mas'hafu iliyochapishwa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeavutia watu wengi katika maonyesho ya vitabu ya Labbaik yanayofanyika katika mjini Karbala, Iraq.
2010 Aug 06 , 21:24
Redio ya kwanza ya Qur'ani Tukufu itafunguliwa hivi karibuni nchini Mauritania kwa shabaha ya kueneza zaidi maarifa ya kitabu hicho kitakatifu cha Mwenyezi Mungu kati ya wananchi wa nchi hiyo.
2010 Aug 05 , 19:34
Ununuzi wa kitabu kitakatifu cha Qur'ani umeshamiri zaidi katika maduka ya kuuza vitabu nchini Uturuki katika siku hizi za kukaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani, kiasi kwamba kitabu hicho kinashika nafasi ya kwanza katika orodha ya vitabu vilivyonunuliwa kwa wingi zaidi katika wiki hii.
2010 Aug 05 , 19:33
Maulama wa Chuo cha al Azhar nchini Misri wamekosoa vikali hatua ya kanisa la Kianglikana la Florida nchini Marekani ya kutangaza siku ya kimataifa ya kuchoma moto kitabu kitukufu cha Qur'ani.
2010 Aug 04 , 12:39
Ajuza mwenye umri wa miaka 100 nchini Saudi Arabia katika eneo wa Al Bashair amefanikiwa kupata nafasi ya kwanza katika mashindano ya kuihifadhi Quran Tukufu maalumu kwa wanawake.
2010 Jul 28 , 22:55
Mvulana mwenye umri wa miaka minane amechukua nafasi ya kwanza katika mashindano maalumu ya watoto ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Makka.
2010 Jul 27 , 10:24
Baraza la Sera la Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Quran Tukufu limetangaza kuwa: "Qur'an Kitabu cha Maisha" ndio nara ya maonyesho ya mwaka huu yatakayofanyika mjini Tehran.
2010 Jul 25 , 13:01
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Alkhamisi, Julai 15, 2010, ameonana na wahadhiri, majaji na washiriki wa Mashindano ya 27 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mahfali ambayo imekwenda sambamba na maadhimisho ya siku alipozaliwa Imam Husain AS.
2010 Jul 16 , 12:15
Mashindano wa 27 ya kimataifa ya Quran Tukufu yamemalizika Jumatano usiku mjini Tehran. Mashindano hayo yalikuwa katika viwango vya Kuihifadhi Quran Tukufu na Kuisoma Quran Tukufu kwa mujibu wa Tajweed.
2010 Jul 16 , 12:08
Mashindano ya 21 ya Qur'ani Tukufu yameanza leo katika mji wa Tripoli nchini Libya. Mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka yataendelea kwa kipindi cha siku tatu.
2010 Apr 12 , 13:58
Kongamano la Kimataifa la Qur'ani Tukufu litazamiwa kufanyika tarehe 29 mwezi Aprili mwaka huu katika mji wa Trivandrum makao makuu ya jimbo la Kerala nchini India.
2010 Mar 27 , 16:27
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Jumamosi Julai 25, 2009 ameonana na washiriki wa mashindano ya 26 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu na kusisitiza kuhusu haja ya Waislamu kujipamba kwa vitendo vyema na kutekeleza ipasavyo mafundisho ya Kitabu hicho Kitakatifu.
2009 Jul 26 , 05:59