Wairani wanaoishi katika mji wa Dar es Salaam nchini Tanzania wanahudhuria kisomo cha Qur’ani kila usiku katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini humo.
2010 Aug 30 , 02:16
Watoto wanaohudhuria Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran wanapata mafunzo ya kusoma Qur'ani katika kitengo maalumu cha watoto katika maonyesho hayo.
2010 Aug 29 , 11:22
Mashindano ya kila mwaka ya kuihifadhi Qurani Tukufu ya 'Saad al Faris' ya Yemen ambayo ni maalumu kwa wanawake na wasichana yamemalizika tarehe 27 Agosti katika mji wa Ta'izz.
2010 Aug 28 , 16:18
Kongamano la kimataifa la Mwaka wa 1400 wa Kuteremshwa Qur'ani Tukufu limepangwa kufanyika Jumapili ya tarehe 5 Oktoba mjini Istanbul Uturuki chini ya usimamizi wa kituo cha Utafiti, Utamaduni, Sanaa na Historia ya Kiislamu cha Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC.
2010 Aug 28 , 12:36
Taasisi ya Uenezaji wa Qur'ani ya Fadala imefunguliwa na Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco katika mji wa Muhammadiya.
2010 Aug 28 , 12:35
Duru ya 11 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika Jumapili tarahe 24 Oktoba huko Moscow Russia.
2010 Aug 28 , 11:31
Maonyesho ya vitabu vya kidini, kifik'hi, kiutamaduni na vinavyohusiana na Qur'ani Tukufu yanafanyika pembeni ya haramu tukufu ya Imam Musa Kadhim (as) huko Kadhimein nchini Iraq.
2010 Aug 26 , 14:05
Washindi wa duru ya sita ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu siku ya Jumatano walitunukiwa tuzo ya al-Kharafi mjini Cairo Misri.
2010 Aug 26 , 14:01
Mkutano wa kila mwaka wa kuwa karibu na Qur'ani Tukufu umefanyika katika mji wa al Awwamiyya wenye idadi kubwa ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia.
2010 Aug 26 , 13:53
Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya utamaduni ya Halmashauri ya Jiji la Tehran amesema kuwa ujenzi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur'ani katika ulimwengu wa Kiislamu unaanza leo Jumatano tarehe 25 Agosti mjini Tehran muda mfupi kabla ya kuanza sherehe za kuadhimisha siku ya kuzaliwa mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) Imam Hassan bin Ali (as).
2010 Aug 25 , 15:14
Mashindano ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanayojulikana kwa jina la Saad al-Fars maalumu kwa wanawake na mabinti wa vituo na jumuiya za Qur'ani za nchini Yemen yaliyoanza siku ya Jumatatu katika mji wa Taiz yamepangwa kukamilika leo Jumatano.
2010 Aug 25 , 11:14
Mashindano ya saba ya usomaji Qur'ani yalimazika jana Jumatatu katika msikiti wa al-Hashimi katika mji mtakatifu wa Kadhimein nchini Iraq.
2010 Aug 24 , 12:58
Tarjumi ya Qur'ani Tukufu kwa lugha 13 pamoja na tarjumi 6 mbalimbali kwa lugha ya Kiingereza na tarjumi 9 mbalimbali kwa lugha ya Kifarsi zimewasilishwa katika programu ya kompyuta ijulikanayo kama "Nasim Ridhwan" katika Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
2010 Aug 24 , 12:54