Kikao cha "Qurani na Vijana" kitafanyika leo Jumatano usiku katika Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qurani Tukufu ya Tehran na kuhudhuriwa na mkuu wa masuala ya Qurani katika Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu.
2010 Sep 01 , 19:24
Kikao cha Qur’ani katika Uga wa Kimataifa kanda ya Afrika kinaanza leo saa 12:30 katika maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur’ani yanayoendela mjini Tehran.
2010 Sep 01 , 17:54
Tafsiri za Imam Musa Sadr ni tafsiri muhimu na zinazofahamika kwa urahisi zaidi kati ya tafsiri za Qur'ani.
2010 Sep 01 , 15:37
Shughuli za duru ya 17 ya Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Algeria zilianza jana Jumatatu nchini humo chini ya usimamizi wa Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kidini Bu Abdullah Ghulamullah.
2010 Aug 31 , 14:53
Mkuu wa Kituo cha Sanaa za Kiislamu cha Kuwait ametembelea kitengo cha watoto cha Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanayoendelea mjini Tehran.
2010 Aug 31 , 14:52
Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu yalimalizika siku ya Jumapili huko Bombay nchini India.
2010 Aug 31 , 12:23
Duru ya tano ya usomaji bora zaidi wa Qur'ani Tukufu kwa mbinu ya tarteel ilianza jana Jumatatu huko Abu Dhabi, mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
2010 Aug 31 , 12:17
Mashindano ya 12 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Misri yameanza katika mji mkuu wa nchi hiyo Cairo na yanahudhuriwa na washiriki 104 kutoka nchi 68 dunani.
2010 Aug 31 , 12:08
Mashindano ya taifa ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu, kuhifadhi hadithi za Mtume Muhammad (saw) na sira ya mtukufu huyo yalianza jana Jumapili tarehe 29 Agosti katika mji mkuu wa Mauritania Nouackchott.
2010 Aug 30 , 18:24
Sherehe za kuhitimisha Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani zawadi ya Dubai na kuwaenzi washindi wa mashindano hayo zinafanyika hii leo Jumatatu.
2010 Aug 30 , 18:12
Qur'ani Tukufu ni kitabu ambacho kimekuwa kikitafutwa zaidi na wageni wanaotembelea maonyesho ya vitabu yanayoendelea nchini Colombia.
2010 Aug 30 , 15:09
Duru ya tisa ya mashindano ya kuhifadhi, kusoma na kufasiri Qur'ani Tukufu imekuwa ikiendelea nchini Tunisia tokea siku ya Jumamosi tarehe 28 Agosti.
2010 Aug 30 , 15:00
Wairani wanaoishi katika mji wa Dar es Salaam nchini Tanzania wanahudhuria kisomo cha Qur’ani kila usiku katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini humo.
2010 Aug 30 , 02:16