Tamasha la kila mwaka la kuwaenzi Mahafidhi wa Qur'ani Tukufu limefanyika nchini Misri na kuhudhuriwa na Mahafidhi 400 wa Qur'ani Tukufu.
2010 Sep 07 , 11:33
Maonyesho makubwa ya Qur'ani Tukufu na nakala za maandishi ya mkono ya Kiislamu yaliyofunguliwa katika mji mkuu wa Kazakhstan Astana, yamewavutia watu wengi nchini humo.
2010 Sep 06 , 18:17
Mashindano makubwa ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Misri yameanza yakiwashirikisha watu 300 katika mkoa wa Matruh.
2010 Sep 06 , 14:26
Bibi Rifqa Ahmad Abu Marsa amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani nzima akiwa na umri wa miaka 74 kazi ambayo imewashinda vijana wengi.
2010 Sep 05 , 14:56
Maonyesho ya Mwaka wa 1400 wa Kuteremshwa Qur'ani Tukufu yalifunguliwa jana katika jumba la makumbusho la athari za kale za Kituruki na Kiislamu mjini Istanbul.
2010 Sep 05 , 12:54
Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yalianza jana Jumamosi huko katika eneo la ar-Riqa nchini Kuwait huku yakiwashirikisha washindani 76 walio na umri tofauti.
2010 Sep 05 , 12:51
Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Tanzania kwa himaya ya idara ya Jumuiya ya Kimataifa ya Ulinganio wa Kiislamu nchini humo.
2010 Sep 05 , 11:47
Kitengo cha tarjumi za Qur'ani Tukufu cha 'Tarjumane Wahyi' kilikuwa moja ya vitengo vilivyokuwa na mafanikio makubwa katika Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur'ani mjini Tehran.
2010 Sep 04 , 14:25
Jumuiya ya Kuhifadhi Qur'ani ya mkoa wa Al Jubail wa Saudi Arabia imeanzisha mafunzo ya tilawa ya Qur'ani Tukufu kwa njia ya intaneti kwa wapendao kushiriki kutoka eneo lolote duniani.
2010 Sep 04 , 14:22
Siku ya mwisho ya Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran imetambuliwa kuwa siku iliyokuwa na idadi kubwa zaidi ya watu waliotembelea maonyesho hayo.
2010 Sep 04 , 14:17
Mahfali ya Qur'ani ya al Kauthar ilifanyika jana usiku katika msikiti wa al Zahra (as) katika mji wa Umm al Hammam katika mkoa wa Qatif nchini Saud Arabia.
2010 Sep 04 , 14:12
Mwanachama wa jopo la wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Abuja nchini Nigeria amesema kuwa tarjumi ya kwanza ya kitabu kitukufu cha Qur’ani ilifanyika barani Arika kwa kufafanuliwa maana ya sura ya Maryam kwa mfalme wa Uhabeshi.
2010 Sep 02 , 19:48
Kikao cha "Qurani na Vijana" kitafanyika leo Jumatano usiku katika Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qurani Tukufu ya Tehran na kuhudhuriwa na mkuu wa masuala ya Qurani katika Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu.
2010 Sep 01 , 19:24