Kongamano la ‘Utambuzi wa Misingi, Mafundisho na Sheria za Qur’ani na Dini ya Kiislamu’ limepangwa kufanyika tarehe 24 Oktoba katika jimbo la Illinois nchini Marekani.
2010 Oct 16 , 14:19
Washindi wa duru ya nne ya mashindano ya kitaifa ya hifdhi na tajweedi ya Qur'ani Tukufu ya nchini Kuwait waliarifishwa siku ya Alkhamisi na sekretarieti ya Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya nchi hiyo.
2010 Oct 16 , 11:05
Awamu ya pili ya mashindano ya kitaifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Iraq yatafanyika tarehe 23 hadi 25 Oktoba huko Bagdad, mji mkuu wa Iraq.
2010 Oct 14 , 12:48
Tamasha ya 31 ya kuwaenzi mahafidhi wa Qur'ani Tukufu na wanafunzi wa Jumuiya ya Masuala ya Kheri ya Kuhifadhi Qur'ani itafanyika tarehe 17 katika mji wa Jiddah nchini Saudi Arabia.
2010 Oct 13 , 15:12
Kamati ya Uenezi ya Taasisi ya Utamaduni ya al Kauthar ya Uholanzi imepanga kuonyesha filamu ya matukio ya kweli (documentary) ya Miujiza ya Qur'ani katika mji wa The Hague.
2010 Oct 13 , 11:47
Tovuti ya kitaifa ya Qur'ani imezinduliwa nchini Qatar.
2010 Oct 12 , 14:23
Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Taiba katika mji mtakatifu wa Madina amesema kuwa chuo hicho kimefungua kitengo cha kiraa za Qur'ani Tukufu.
2010 Oct 11 , 15:28
Kituo cha taaluma ya Qur'ani katika mji wa Um al Hammam mkoani al Qatif kimeandaa masomo ya kutadabari Qur'ani Tukufu, elimu ya tajwidi na daraja za Qur'ani.
2010 Oct 11 , 15:18
Vikao vya Maarifa ya Qur'ani vimeanza huko Istanbul nchini Uturuki kwa udhamini wa Kituo cha Utamaduni cha Kizazi cha Qur'ani.
2010 Oct 11 , 15:17
Nakala ya Qur’ani iliyoandikwa miaka 300 iliyopita itauzwa kwa bei ya kuanzia yuro 900 mnadani.
2010 Oct 10 , 23:04
Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ambayo yameandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhi Qur'ani ya Burkina Faso kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa idara ya biashara ya nchi hiyo ya Kiafrika.
2010 Oct 10 , 17:06
Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliofanywa na Muungano wa Redio na Televisheni wa Misri, Redio ya Qur'ani ya nchi hiyo ndiyo iliyo na wasikilizaji wengi zaidi nchini humo.
2010 Oct 10 , 16:52
Masomo ya kuhifadhi na tajwidi ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya wanawake yameanza leo katika Kituo cha Qur'ani cha al Atrijah katika mji wa Ajman kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu.
2010 Oct 09 , 13:48