Warsha ya Fasihi ya Q'ani na Taahira Yake katika Lugha ya Kiarabu itafanyika kesho Alkhamisi katika mji mkuu wa Azerbaijan, Baku. Warsha hiyo itahudhuriwa na wataalamu wa lugha ya Kiarabu na wanazuoni mashuhuri.
2010 Oct 27 , 15:10
Kasisi mmoja wa Misri katika mji wa Mansura amewazawadia mahafidhi kadhaa vijana wa Qur'ani kitabu hicho kitakatifu pamoja na zawadi nono ya fedha.
2010 Oct 27 , 11:47
Washindi wa mashindano ya kusoma Qur'ani makhsusi kwa Waislamu wapya wa Malaysia wametunzwa katika sherehe iliyofanyika jana kwenye mji wa Putrajaya.
2010 Oct 26 , 16:27
Kikao cha Wajibu wa Waislamu Mbele ya Qur'ani Tukufu kimepangwa kufanyika Jumamosi ijayo chini ya usimamizi wa msikiti wa Boundy nchini Ufaransa.
2010 Oct 25 , 17:32
Kongamano la kwanza la Kimataifa la Muujiza wa Qur'ani na Suna za Mtume (saw) limeanza kazi zake leo tarehe 25 Oktoba katika mji wa Jazan nchini Saudi Arabia.
2010 Oct 25 , 17:17
Mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu makhsusi kwa wafanyakazi wa jeshi la Yemen yalianza jana katika msikiti wa al Saleh katika mji wa Sanaa.
2010 Oct 24 , 17:35
Awamu ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani ya Russia imeanza leo mjini Moscow.
2010 Oct 24 , 17:21
Washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani ya Ethiopia wametunzwa leo katika sherehe iliyofanyika mjini Addis Ababa.
2010 Oct 23 , 15:06
Washindi wa mashindano ya Qur'ani ya Kituo cha Utamaduni na Kiislamu cha London leo Jumamosi watazawadiwa zawadi nono kutokana na kushiriki kwao katika mashindano hayo.
2010 Oct 23 , 13:49
Mashindi wa mashindano ya kusoma Qur'ani Tukufu yaliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Brunei wameshukuriwa na kupewa zawadi katika hafla iliyofanyika jana Ijumaa.
2010 Oct 23 , 13:48
Masomo ya hifdhi na tajweedi ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanafunzi wa shule za msingi chini ya anwani 'Sote tuelekee kwenye jamii ya Qur'ani' yalianza siku ya Jumanne tarehe 19 Oktoba huko katika mkoa wa Qatif nchini Saudi Arabia
2010 Oct 21 , 10:11
Washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Benin magharibi mwa Afrika wametunukiwa zawadi.
2010 Oct 21 , 10:04
Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu ya al Azhar imevitahadharisha viwanda vya uchapishaji Qur'ani vya Misri kwamba iwapo vitachapisha nakala za Qur'ani zenye makosa ya kiuchapishaji zitanyang'anywa kibali.
2010 Oct 20 , 18:52