Kongamano la Sita la Kimataifa la Utafiti wa Qur’ani litafanyika London, Uingereza mwezi Juni mwakani.
2015 Oct 29 , 14:13
Ujenzi wa Chuo cha Sayansi za Qur’ani cha Al Hussary umezinduliwa katika mkoa wa Minya nchini Misri.
2015 Oct 29 , 13:58
Kwa mnasaba maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Mtume Muhammad , SAW, Imam Hussein AS, vikao kadhaa vya kusoma Qur'ani vimeandaliwa katika misikiti mbali mbali kote Kuwait.
2015 Oct 18 , 19:15
Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
2015 Oct 12 , 16:55
Maqarii wengine watatu wa Qur'ani Tukufu Wairani wametambuliwa kuwa miongoni mwa Mahujaji waliopoteza maisha katika maafa ya Mina Alhamisi wiki iliyopita.
2015 Oct 02 , 06:49
Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao maqarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
2015 Sep 27 , 11:50
Maqarii wa Qur'ani kutoka pembe mbali mbali duniani hasa Misri wanaendelea kuomboleza vifo vya maqarii wawili mashuhuri wa Iran waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
2015 Sep 27 , 11:35
Qarii mashuhuri wa Iran aliokuwa katika msafara wa Qur'ani wa mahujaji amethibitishwa kuaga dunia kufuatia msongamano mkubwa wa mahujaji katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
2015 Sep 26 , 13:45
Kampeni ya kusambaza zawadi za nakala za Qur'ani tukufu imezinduliwa Marekani na Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Marekani CAIR katika kujibu matamshi yenye chuki dhidi ya Uislamu ya Ben Carson, anayetaka kugombea kiti cha urais nchini humo mwakani kwa tikiti ya chama cha Republican.
2015 Sep 22 , 15:44
Wizara ya Awqaf nchini Syria imewatangaza washindi wa Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani.
2015 Sep 15 , 15:40
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Zimbabwe kwa usimamizi wa Baraza Kuu la Waislamu nchini humo.
2015 Sep 15 , 15:22
Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Tukufu ya Russia yanatazamiwa kufanyika kuanzia tarehe 19 Oktoba katika mji mkuu wa nchi hiyo, Moscow.
2015 Sep 12 , 16:49
Mashindano ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yamefanyika nchini Morisi (Mauritius) katika vitengo viwili vya wanawake na wanaume.
2015 Sep 12 , 16:31