Sambamba na Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran, kongamano la pili la kuwaenzi wanawake wanaharakati katika uga wa Qur’ani linafanyika Julai pili.
2011 Jul 02 , 17:23
Mashindano ya 11 ya Kitaifa ya Qu’rani maalumu kwa ajili ya wafanyakazi wa kike katika Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanaanza Julai pili katika mji wa kaskazini mwa Iran wa Rasht.
2011 Jul 02 , 17:11
Kwa mnasaba wa siku ya Mab’ath tarehe 27 Rajab, Iran imefungua kituo cha Darul Qur'an katika mji mkuu wa Sri Lanka, Colombo.
2011 Jul 02 , 17:08
Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran hufanyika kwa kiwango cha juu na hivyo kila karii na hafidh wa Qur'ani duniani hutamani kushiriki katika mashindano hayo.
2011 Jul 02 , 17:06
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kushikamana vilivyo na mafundisho ya Qur'ani Tukufu humfanya mtu na jamii nzima kujengeka kwa maadili bora.
2011 Jun 30 , 11:27
Mashindano ya Kimataifa ya 28 ya Qur’ani Tukufu yameanza mjini Tehran katika sherehe iliyohudhuriwa na Rais Mahmoud Ahmadinejad, viongozi mbalimbali wa ngazi za juu wa Iran na wageni waalikwa kutoka nchi mbalimbali duniani.
2011 Jun 30 , 11:26
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaanzisha kituo maalumu cha kazi za tarjumi na tafsiri za Qur’ani Tukufu.
2011 Jun 29 , 14:35
Idara ya Gavana wa mkoa wa Basra nchini Iraq imetangaza mpango wa kuanzisha ‘Mji wa Qur’ani’ katika eneo la kusini mwa nchi hiyo kwa ushirikiano na Kituo cha Darul Qur’an al Karim kinachofungamana na Taasisi ya Haram ya Imam Husseini AS.
2011 Jun 29 , 14:33
Wiki ya Tamasha ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani itaanza tarehe 4 hadi 8 Julai katika mji wa Jala nchini Thailand.
2011 Jun 29 , 14:30
Awamu ya mwisho ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani yamefanyika nchini Kyrgyzstan kuanzia Juni 24-25.
2011 Jun 28 , 13:00
Mkurugenzi wa Radio ya Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa kipindi cha "Qur'ani, Kitabu cha Mwamko" kinatazamiwa kuwavutia karibu washiriki milioni mbili nchini.
2011 Jun 28 , 12:52
Kikao cha kwanza cha Jumuiya ya Makarii na Mahafidhi wa Misri baada ya kufariki dunia Sheikh wa Makarii wa nchi hiyo kitafanyika Jumamosi ya wiki hii mjini Cairo.
2011 Jun 27 , 17:33
Vikao kadhaa vya usomaji Qur’ani vinapangwa kufanyika pembizoni mwa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tehran yanayoanza siku ya Alhamisi.
2011 Jun 27 , 10:53