Awamu ya pili ya mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi yamefanyika katika eneo la Ashanti nchini Ghana katika siku za awali za mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Aug 07 , 14:26
Jumuiya ya Qur'ani Tukufu ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wa mashariki wa Saudi Arabia imetangaza kuwa inajitayarisha kwa ajili ya kusimamia kongamano la 9 la kila mwaka la Qur'ani Tukufu.
2011 Aug 06 , 18:55
Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa jijini Tehran Ayatullah Muhammad Emami Kashani amesema leo kuwa, matatizo yanayoukumba ulimwengu wa Kiislamu kwa wakati huu yanatokana na Waislamu kuipuuza Qur’ani Tukufu.
2011 Aug 05 , 20:16
Majlisi ya kiraa ya Qur'ani Tukufu imefanyika alasiri ya leo katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ambao ni msimu wa machipuo wa Qur'ani, katika mahfali iliyohudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamanei.
2011 Aug 03 , 14:19
Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu, kampuni ya Nokia moja kati ya mashirika makubwa ya utengenezaji simu za mkono duniani limetangaza programu maalumu ya ‘Kalenda ya Ramadhani’.
2011 Aug 03 , 01:41
Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran ni mwenyeji wa wachapishaji na watafiti wa Qur’ani kutoka nchi 20 duniani.
2011 Aug 03 , 01:31
Waziri wa Utamaduni wa Saudi Arabia ametangaza kuwa kanali za televisheni za Qur’ani Tukufu na Sunna zimeanza kurusha matangazo kwenye tovuti ya Youtube katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2011 Aug 03 , 01:28
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani tukufu makhsusi kwa ajili ya vijana na barobaro yatafanyika tarehe 21 Agosti katika mji wa Montreal nchini Canada.
2011 Aug 02 , 15:39
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu makhsusi kwa ajili ya vijana na mabarobaro yalifanyika Jumapili iliyopita katika mji wa Conakry nchini Guinea.
2011 Aug 02 , 15:22
Mkurugenzi wa kitengo cha Chuo Kikuu cha Kidini cha Qum katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran amesema kuwa jarida la Qur'ani la malewavu wa macho (wasioona) lilizunduliwa jana katika maonyesho hayo yanayoendelea mjini Tehran.
2011 Aug 02 , 15:19
Shughuli za kiutamaduni-kidini zitakazokuwa pembizoni mwa Awamu ya 15 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai zimeanza Agosti mosi.
2011 Aug 01 , 17:22
Wanachama wa jamii ya wanaharakati wa Qur'ani nchini Iran watakutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mwezi huu wa Agosti.
2011 Aug 01 , 17:09
Tarjumi mpya za Qur'ani Tukufu kwa lugha mbalimbali zimearifishwa na taarisisi ya Tarjumane Wahy katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea hapa mjini Tehran.
2011 Jul 31 , 17:35