Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu Morocco yajulikanayo kama "Zawadi ya Mfalme Mohammad wa Sita" yameanza Agosti 13 katika Msikiti wa al Sunnat katika mji wa Rabat.
2011 Aug 14 , 14:25
Nuskha za Qur'ani zipatazo 20,000 ambazo zimechapishwa na kusambazwa bila kupata idhini ya Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu ya al-Azhar nchini Misr zimenaswa na kukusanywa na Idara Kuu ya Utafiti na Ulindaji wa Haki za Umiliki wa Kimaanawi ya nchi hiyo.
2011 Aug 14 , 14:21
Wawakilishi wa nchi 99 za Kiarabu na Kiislamu watashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatakayoanza tarehe 18 mwezi mtukufu wa Ramadhani mjini Cairo.
2011 Aug 14 , 14:18
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatunuku nishani ya juu kabisa maustadhi na maqarii 14 wa kimataifa.
2011 Aug 14 , 14:15
Msimamizi wa Mashindano ya 15 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Dubai Ahmad al Suwaidi amesema kuwa washiriki 11 wameondolewa katika mashindano hayo kutokana na udhaifu na kiwango chao cha chini.
2011 Aug 13 , 19:47
Taswira ya majina 99 ya Allah yaliyoandikwa na Gori Yusuf Hussein yanaonyeshwa katika kibanda cha India katika Maonyesho ya 19 ya Qur'ani mjini Tehran.
2011 Aug 13 , 17:28
Kikao kuhusu Tiba ya Kiislamu kimefanyika Ijumaa Agosti 12 katika Maonyesho ya 19 ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran.
2011 Aug 13 , 14:56
Kitengo cha kimataifa cha Maonyesho ya 19 ya Qur’ani Tehran kimefunguliwa katika sherehe iliyohudhuriwa na viongozi wa serikali, wasomi, na wageni waalikwa kutoka nje ya nchi.
2011 Aug 11 , 10:03
Mashindano ya hifdhi na tafsiri ya Qur'ani Tukufu yamepangwa na Umoja wa Waislamu wa Jimbo la Hawaii nchini Marekani kufanyika hapo tarehe 26 Agosti katika makao makuu ya umoja huo.
2011 Aug 10 , 17:14
Mkurugenzi wa kitengo cha kimataifa cha Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani mjini Tehran amesema kuwa msahafu unaonasibishwa kwa Imam Ali bin Abi Twalib AS ambao metarjumiwa nchini Pakistan, utazinduliwa katika maonyesho hayo.
2011 Aug 10 , 16:17
Waandishi wa makala za Qur’ani kwa ajili ya Shahada ya Uzamivu-Phd- watapokea ushauri wa jumla na maalumu kuhusu marejeo ya Qur’ani na namna ya kufanya utafiti katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran.
2011 Aug 10 , 13:36
Mashindano ya 7 yaliyopewa jina la Mazamir Aal Dawoud, yalianza jana Jumatatu huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2011 Aug 10 , 13:26
Kitengo cha Kimataifa katika Maonyesho ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran kinafunguliwa Jumatano ya leo katika hafla itakayohudhuriwa na Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu wa Iran na vilevile mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu.
2011 Aug 10 , 13:21