Sheikh Hussein bin Abdullah Rajab, muadhini wa Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina aliaga dunia Ijumaa iliyopita akiwa na umri wa miaka 85.
2012 Jul 09 , 13:02
Mafunzo ya "Ujue Uislamu na Waislamu" yanaendelea kutolewa kwa makasisi wa Kanisa Katoliki katika viunga vya mji mkuu wa Ufaransa, Paris.
2012 Jul 08 , 12:57
Maadhimiho ya kuzaliwa Imam Mahdi (af) yalifanyika siku ya Alkhamisi Julai Tano huko katika mji wa Kaduna nchini Nigeria kwa ushirikiano wa Taasisi ya Thaqalain.
2012 Jul 07 , 16:57
Sherehe za kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Mahdi (af) zilifanyika jana Jumatano huko Dar es Salaam, Tanzania.
2012 Jul 05 , 06:30
Mashindano ya kitaifa ya adhana yalifanyika Jumamosi katika Msikiti wa Izzat Pasha katika mji wa Laziq.
2012 Jul 01 , 17:58
Waislamu wa madhehebu ya Shia wakazi wa Jinja mji wa pili kwa ukubwa nchini Uganda, wanapanga kufanya maadhimisho makubwa ya kuzaliwa Imam wa Zama Imam Mahdi (af) mjini humo hapo Alkhamisi tarehe Tano Julai.
2012 Jun 30 , 17:31
Fadhila za kiakhlaqi na maisha ya Bibi Fatma (as) zimebainishwa katika semina ya siku tatu iliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Singida nchini Tanzania. Semina hiyo imeandaliwa na Taasisi ya Bilal Muslim.
2012 Jun 20 , 17:19
Pande mbalimbali za fadhila za Imam Hussein (as) zitachunguzwa na kubainishwa katika kikao ambacho kimepangwa kufanyika siku ya Jumapili Juni 24 katika mji wa Ghazi Pur katika Jimbo la Uttar Pradesh nchini India.
2012 Jun 19 , 17:05
Fadhila za kiakhlaqi za Bibi Fatma (as) binti wa Mtume Mtukufu (saw) zimejadiliwa katika semina iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Kiutamaduni na Mafunzo ya nchini Uturuki.
2012 Jun 17 , 16:35
Waislamu wa Finland wanapanga kuadhimisha siku ya uzawa wa Imam Hussein (as) hapo siku ya Alkhamisi Juni 21.
2012 Jun 17 , 16:25
Maadhimisho ya Siku ya Karbala yatafanyika tarehe 23 Juni sambamba na kufanyika sherehe za uzawa wa Imam Hussein (as) katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq.
2012 Jun 10 , 18:23
Msikiti ya kihistoria ya kipindi cha utawala wa Othmania katika Jamhuri ya Albania imepangwa kukarabatiwa na Wakala wa Ushirikiano na Uratibu wa Uturuki kwa gharama ya euro milioni 4.
2012 Jun 06 , 11:58
Fadhila na shaksia ya Imam Ali (as) itabainishwa na kuarifishwa katika kikao maalumu kilichopangwa kufanyika hapo siku ya Jumatatu Juni Nne katika Kituo cha Rasul al-Akram mjini Antananarivo nchini Madagascar, kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa Imam huyo mtukufu (as).
2012 May 30 , 16:46