TEHRAN (IQNA) – Sheikh Abdul Aziz al-Kar’ani ni imami katika Msikiti wa Al Ghazi Ayyaz Casablanca, Morocco.
Katika klipu huu iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii anasoma aya za 31-35 za Sura Ibrahim katika Qur’ani wakati wa Sala ya Jamaa huku akiwa anazingatia mtindo tartil ambao maarufu nchini Morocco.